A
Anonymous
Guest
Habari ndugu zangu, napenda kwanza kuwajulisha kuhusu nyaya feki, na pili kuzijulisha mamlaka husika zichukue hatua kwani jamii inaumia.
Waya hizo ni za twin ambazo 1.5mm na 2.5 mm hazijai vipimo ni ndogo sana na sio za copper ni chuma zingine aluminium, nyaya hizi zinatokea Bukoba ambako ndiko insadikiwa kiwanda kipo.
Hiki kiwanda kina mawakala maeneo mbalimbali ya nchi ikiwemo Dar mtaa maarufu wa Narung'ombe watu wanapigwa sana 1.5 inauzwa 75,000 roll na 2.5 inauzwa 95,000.
Wakala mwingine Yuko Morogoro mjini na Turiani Msowela naweka namba yake ili muweze kumkamata na kudhibiti mtandao wote.
Anaitwa Jafet anapatikana Msowela, naomba mamlaka husika zishughulikie suala hili mafundi wakongwe tunaumia.
Mimi katika ujenzi wa taifa.
Asante