Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,017
- 2,451
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.
Ila
2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.
Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?
Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?
Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?
Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua