MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.Muhongo ni waziri kishoka anayelihujumu taifa kupitia wizara yake na kuficha mikataba ya kinyonyaji ya gesi na mafuta, Mwakyembe na unafiki wake wote alibariki wizi wa mapato ya serikali kwa kubypass metre akiwa waziri wa miundo mbinu. Magufuli tutolee hawa wasaliti wanakuchafulia serikali yako
Hahahahaaaa mkuu umechukia niniKama anaonewa nenda kanywe nae chai
Lakini kwanini kila siku iwe yeye tuu? Ana damu ya kunguni au ni wivu tu wa wapinzani wake? Ambao hata hivyo hawajulikani ni akina naniWakuu habari,
Habari hii imetokea kwenye Magazeti ya leo, nimeuleta Uzi huu kwenu ili tujadili kama kweli hawa mawaziri wanastahili adhabu.
Kwa maoni yangu naona profesa Muhongo anaonewa
Uongo mwakyembe hajawahi kusoma Kozi yoyote ya engineering hapa duniani.nenda kadanganye FacebookMagufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
Huko FB mnadanganyana tuAcha uongo wako mwakyembe hajawahi kusoma kozi yoyote ile ya engineering hapa Dunia,nenda kadanganye Facebook.
JF bhana mtu anashusha nondo unaweza fikiria ni kweli! kumbe anapamba jukwaa tu! Mwakyembe sio injinia kwa nijuavyo mimi,kasomea sheria.pili takwimu za mgao wa fedha zina ukakasi kwakuwa Membe na Magu hawako pamoja kivile.pia Dr mihogo nyumba yake imeuzwa majuzi.angekuwa na mgao huo angelipa isiuzwe!Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
huko FB hawajui mengi ya MwakyembeUongo mwakyembe hajawahi kusoma Kozi yoyote ya engineering hapa duniani.nenda kadanganye Facebook
ww soma cv yake Mwakyembe utaamini ninachokuambia vyote vyote anavyoJF bhana mtu anashusha nondo unaweza fikiria ni kweli! kumbe anapamba jukwaa tu! Mwakyembe sio injinia kwa nijuavyo mimi,kasomea sheria.pili takwimu za mgao wa fedha zina ukakasi kwakuwa Membe na Magu hawako pamoja kivile.pia Dr mihogo nyumba yake imeuzwa majuzi.angekuwa na mgao huo angelipa isiuzwe!
Ni Kwamba mwakyembe hajawahi kusoma engineering,Kwa kukusaidia mwakyembe kasoma diploma ya uhandishi wa Habari DSJ degree hadi PHD kasoma sheria.Huko FB mnadanganyana tu
Kweli hawezi kumgusa, kwani walikua wote na walikula wote, atamgusaje?. yale maneno yanatimia anawafukuza kwa sababu hakuwateua hivyo hawajui, ngoja tuone aliowachagua wakifanya makosa, wakituhumiwa kwa wizi atawafukuza? kwani huo wizi wote na haujui ndani ya sirikali? aliyekaa ktk baraza la mawaziri miaka 20 inawezekanaje asijue kama si usanii na kuwadanganya wajinga?Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
Wakuu habari,
Habari hii imetokea kwenye Magazeti ya leo, nimeuleta Uzi huu kwenu ili tujadili kama kweli hawa mawaziri wanastahili adhabu.
Kwa maoni yangu naona profesa Muhongo anaonewa
mwakyembe amefanya sana hizo kazi za uinjinia haijalishi kama alisomea au alikuwa akitumia ujanja ujanja wa town kama ilivyokuwa kwa Watanzania wengi alikuwa kwenye kampuni ya meco na zinginezo kadhaa, pengine zilikuwa ni mbinu za kusaka tonge, turudi kwenye hii ya mabehewa mabovu hivi unadhani Magufuli atathubutu kumgusa? Naomba ulifafanue hilo?Kwamba mwakyembe hajawahi kusoma engineering,Kwa kukusaidia mwakyembe kasoma diploma ya uhandishi wa Habari TSJ ,degree hadi PHD kasoma sheria.
Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
sawa mkuu.kama ni hivyo inamaana huyu ni kilaka.mwache apige helaww soma cv yake Mwakyembe utaamini ninachokuambia vyote vyote anavyo