Uwanja Ndege Brussels Ubeljiji walipuliwa na Mabomu

Gaddafi said wanamgambo wake wataingia ulaya kama siafu. Wanajifanya wamesahau. Waacheni wauone moto
 
haya ni matunda waliyopandaa ulaya kwakushirikiana na marekani.......vichaka vyakufichia magaidi vilikua vimetulia na dunia palikua mahala salama lakini hivi sasa imebaki historia tu.......kumchomoa sadam, osama, na gaddafi hapo ndio waliharibu instead walitakiwa wakae nao chini nakulinda amani kwa pamoja hila walivyoleta ubabe hizi ndio consequence zake sasa na bado.

turkey pameanza taratibu lakini mpaka patakua kama syria
 
Inafaa zaidi haya yatokee USA na UK maana ndio wana viherehere sana
 
Kazi tu, ni sawa tu acha walipue. Wazungu si walianza wao ugomvi acha wazee wa takbiir wamalize mchezo
 
Putin aliwambia,"jamani tatizo sio assad,achaneni nae,tudeal na hawa ISIS"

Haohao wanaowapa silaha ndo wanawageuka na kuwalipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…