KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI
Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya ya KINONDONI kuhamasisha wananchi Mama lishe Boda boda kwenye masoko vikundi vya vijana kwenda kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kura.