mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,331
- 4,817
Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya ya KINONDONI kuhamasisha wananchi Mama lishe Boda boda kwenye masoko vikundi vya vijana kwenda kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kura.
Pia soma > Pre GE2025 - DSM - Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura inaendelea Dar, Machi 17 - 23, 2025