UVCCM acheni kusifia vitu ambavyo havipaswi kusifiwa

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Aug 14, 2023
245
655
Leo UVCCM hawajuhi mbegu ambazo wanapanda zitakuja kuwagarimu baadae?

Leo UVCCM hawajuhi miaka inayoenda au miaka ya mbele vijana wanaenda badilika?

Je uovu, mateso ya watanzania hawayaoni, siku wakija omba uongozi ikiwemo ubunge, udiwani, je wakiambiwa mlikuwa mnatetea wala rushwa, mafisadi je watajibu nini kwenye majukwaa.

Kifupi UVCCM ni janga la taifa ,na pia wanashindwa kutambua dunia imebadilika,hasa katika masuala ya siasa, UVCCM jifunzeni kwa BAVICHA, ACT-WAZALENDO NGOME YA VIJANA.

Hizo taasisi hukuti zinasifia viongozi wao bali zinaibua kero za wananchi, siku za mbeleni tutakuja kuwashtaki mbele ya wananchi na kutangaza kuwa UVCCM ni janga la taifa.
 
Back
Top Bottom