ni kweli yametokaNasikia wametoa mwananch la leo,ila cjapata uhakika bado.
Wekeni orodha ya majina wadau nipo village kinyamAmwisho kuripoti kazini tarehe 30 mwezi huu
Web site gani mkuu jina gani la website yao ??Gazeti_ninalo,kwa_mwenye_shida.
Hata_hivyo_majina_yapo_kwenye_website_yao.
www.judiciary.ac.tzWeb site gani mkuu jina ani la website yao ??
Amosi Davis mbalafu ..Naomba niangalizieni wadau niko kijijini sana na nacheki kwenye website yao...hakuna majina!
Amos David Mbalafu
Office Attendant
karibuAhsante ndugu yangu
Hongera_Mkuu,Ahsante ndugu yangu
hongera mkuu,naomba kudadisi kdg,iyo nafasi uliyopata ww ni uhakimu au?Wametoa_leo_Gazeti_la_Mwananchi.
Nashukuru,Mungu_mm_nimepata.