Kwa ujumla walimu katika shirika hili hatuna raha kabisa na kazi yetu..Wenzetu wa shule za halmashauri vyeo vyao vimaenda kwa mtiririko mzuri lakini sisi huku mambo hayaeleweki...
Kuna walimu hapa wanadai hela za nauli za likizo tangu mwaka 2014 mpaka leo hawajalipwa.....waajiriwa wapya posho ya kujikimu wanaweza wakapewa hata baada ya miaka miwili....
Vitambulisho vya kazi pia ni shida.,kuna watu wapp kazini zaidi ya miezi sita na hawana vitambulisho sababu zinazotolewa ni kuwa hakuna ribbon ya kutengeneza hizo I'd...mambo ni mengi tu