Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 416
Inawezekana kabisa kwa zoezi hili linaloendelea sasa utumishi.
Ahsante mkuu.na kama ndo vile sasa wameniondoa wao..wakati wa kurudi ntafata zile process za kurudi upya au wao watanirudisha kirahisi kama walivyoniondoa....maana utaratibu wa kurudi payroll sio mchezo....Inawezekana kabisa kwa zoezi hili linaloendelea sasa utumishi.
Kwa nukuu za Rais hili ni zoezi la miezi miwili au mwezi na nusu. Baada ya hapo mambo yataendelea kama kawaida. Maana hata waliopata promosheni mwezi wa tano wamepewa mshahara wa zamani kwa mwezi june wameambiwa wasubiri miezi hi miwili then august mambo yanarudi normal.Ahsante mkuu.na kama ndo vile sasa wameniondoa wao..wakati wa kurudi ntafata zile process za kurudi upya au wao watanirudisha kirahisi kama walivyoniondoa....maana utaratibu wa kurudi payroll sio mchezo....
Duh kazi kweli kweli. Sasa mbona ataua bendiChini ya carpet ni kuwa serikali inao watumishi wengi sana lakini hawajatumika ipasavyo kutokana na mifumo legelege iliyokuwepo huko nyuma. Kwa hiyo wale waliokuwa wanapandishwa vyeo wanaweza kurudi kwenye mishahara mipya lakini wale wa ajira mpya mtasubiri sana. Jamaa anataka kuhamisha hata wafanyakazi waliozidi kwenye baadhi ya idara ili wabakie idadi ambayo inahitajika. Hana mpango wa kuajiri kwa sasa ila mpango wake ni kuwatumia ipasavyo waliopo
Ndo madhara ya kutoroka hayo!! Walimu mnapenda sana kutoroka kwenda masomoni!!Mimi cheki namba ninayo tangu 2007 sema hapo katikati niliondolewa payroll kisa kwenda masomoni na baadae nkafata utaratibu na nkapata kibali cha kuajiriwa upya na kutumia cheki namba ya zamani..ndo hyo nilikuwa nimeingia payroll tena mwezi June...