Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,690
- 239,253
Chadema haijawahi kufukuza diwani anayepinga wizi , wengi walifukuzwa baada ya kununuliwa kwa bei rahisi , mfano Matata .Chadema ishafukuza mara nyingi tu madiwani wake, naona wanaimarika tu!suala la kuendana na falsafa ya chama chako ni la msingi sana katika kuimarisha umoja!Acha GT waelewe nilichoandika
Inajipaisha kwa kulinda Mchwa ?Sasa ndio imesambaratika au ndio imefanya vyema kwa kutenda jambo hilo!?
CCM inajipaisha hakuna ya zamani ya mchezo mchezo na kujitendea lolote la kushusha chama, kisa bahasha za khaki.
CCM hii inalinda mchwa??Inajipaisha kwa kulinda Mchwa ?
Mpaka 2020 watakuwa wameshajipanga, maana upande wa pili sioni maendeleo zaidi ya vigeregere huku wenzao wakijipanga.Taarifa zinazosambaa kwa kasi ya moto wa nyika zinaonyesha kwamba , yale maombi ya wana Kyela ya miaka yote ya kuomba kwa Mungu wao ili awezeshe kusambaratika kwa Chama cha Mapinduzi , hatimaye yamejibiwa .
Kamati ya siasa ya ccm Mkoa wa Mbeya , imewasimamisha na kupendekeza kuvuliwa uanachama madiwani MACHACHARI wanne wa chama hicho katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela , kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Madiwani hao ni Lameck Mwambafula (bujonde ) , Fyuda Msusi ( Katumba songwe) , Emmanuel Mwandambo ( Ndandalo ) na Furaha Mwasongela ( Mababu ).
Taarifa zinadokeza kwamba hawa ni miongoni mwa wale 19 wa ccm , walioshirikiana na wale 12 wa Chadema kumng' oa Mwenyekiti wa Halmashauri , ambaye pia amebatizwa jina jipya la " MCHWA " kutokana na uwezo wake wa kutafuna hela za umma , aitwaye Hunter Mwakifuna , diwani wa kata ya Ipinda .
Ikumbukwe kwamba pendekezo la kuwavua uanachama limepelekwa kwenye vikao vya juu ambavyo huongozwa na yule jamaa asiyetaka kuona Ng'ombe waliokatika mikia .
Tuendelee kusubiri .
Ndio kwao huko?Acha watimuane tu mkuu ...bado mzee kunyonyoka nywere 2020 safar imewadia kwenda kwao Malawi
Atakayeendelea kuandika kuhusu Mv Dar es salaam ajue kwamba ni sawa na kuandika kuhusu kifaru cha jeshi - Dr MagufuliCCM hii inalinda mchwa??