Uteuzi wa Prof. Kabudi Mara ya 3 Sheria Japo Umefanywa na Binadamu tu, Una Roho wa Mungu. Je, Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,650
119,257
Wanabodi,

Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo.

Screenshot_20240818-052240_Rifaly.jpg

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani na Tanzania kwenye mambo fulani yanayohusu Katiba, sheria na haki. Swali ni Je Prof. Kabudi atatimiza mapenzi ya Mungu aliyemteua kupitia kwa binadamu Rais Samia au atatimiza mapenzi ya binadamu aliyemteua?

Kuna msemo usemao "everything happens for a reason" yaani kila kinachofanyika kina sababu. Lakini kuna vitu vinatokea sisi binadamu wa jicho la kawaida, hatujui kwa nini kitu fulani kimetokea, mfano mpaka hapa ninapoandika, hakuna mtu yeyote ajuaye for sure kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli alitwaliwa mapema vile?. Ila miongoni mwetu kuna baadhi yetu wenye jicho la tatu, jicho la Roho, tunajua kuwa kutwaliwa kwake has to do with karma lakini hatusemi ni karma ya nini exactly kwasababu no one knows zaidi ya yeye na Mungu wake!, hivyo tukiona viongozi wetu wanaendelea kufanya mambo ambayo yanaweza kusababisha karma repercussions, kuhusiana na dhulma na uporwaji wa haki, tunajitolea kusaidia kama hivi ili kuwaepushia viongozi wetu wa sasa waliopo to do the right thing na kuepuka a bad karma accumulation and repercussions. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Tanzania tunakumbwa na baadhi ya mabalaa na majanga kutokana na karma za kumchukiza Mungu kwenye mambo fulani fulani yanahusiana na uporwaji wa haki za Watanzania za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa!

Naamini Mungu ana makusudi fulani na Tanzania haki hizi zirejeshwe, hivyo Mungu akamuelekeza Rais Samia kumkumbuka Prof. Kabudi ambaye ni Profesa wa sheria na bingwa wa Katiba akamsaidie kwenye Wizara ya sheria.

Kwa Tanzania, mtu ukiteuliwa na Rais kumsaidia katika wadhifa fulani, kuna wengi badala ya kumsaidia kwa kuwajibika, wao wanamshukuru mteuzi na badala ya kuwajibika kumsaidia mteuzi kwa kuwahudumia wananchi kwa weledi, wao wanamshukuru kuwateua kwenye ulaji na kufanya kazi ya kumtumikia mteule huku wakimuogopa kuliko Mungu. Matokeo yake mteule anakanyaga katiba wao wanaogopa kumwambia ukweli. Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Swali ni je Prof. Kabudi anajua uteuzi wake una mkono wa Mungu?, na kuna kitu anatakiwa kufanya kwenye katiba ili kutimiza mapenzi ya Mungu kwa Tanzania kuhusu katiba, sheria na haki?, au yeye atajihesabu ameteuliwa tena na Rais Samia katika Wizara ile ile ya sheria na atatekeleza mapenzi ya mteule wake vile vile kama alivyotekeleza mapenzi ya rais Magufuli?. Akiambiwa "ruka", badala ya kuuliza ni ruke nini, wapi ili iweje?, yeye akiambiwa tuu ruka, anauliza how high na kuanza kuruka?

Kitendo cha mtu yule yule kuteuliwa Wizara ile ile kwa mara ya tatu!, hujiulizi kama ni uteuzi wa binadamu au ni Mungu ana makusudi na wewe?

Namuomba mwalimu wangu Prof. Palamagamba Kabudi atimize mapenzi ya Bwana Mungu wake, na amini nawaambia, kama hawatatimiza mapenzi ya Mungu kuhusu huu ubatili wa katiba yetu, na ubatili wa sheria yetu ya uchaguzi kabla uchaguzi mkuu ujao wa 2025, Mungu atafanya kitu na mimi nitarejea humu kuja kuwashuhudia Mungu amefanya nini!

Mungu Mbariki Prof Kabudi atimize Mapenzi yake. Mungu Mbariki Rais Samia kukubali mapenzi ya Bwana kuhusu haki za Watanzania kuchagua na kuchaguliwa yatimizwe.
Mungu Ibariki Tanzania.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
 
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3072962

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani na Tanzania kwenye mambo fulani yanayohusu Katiba, sheria na haki. Swali ni Je Prof. Kabudi atatimiza mapenzi ya Mungu aliyemteua kupitia kwa binadamu Rais Samia au atatimiza mapenzi ya binadamu aliyemteua?.

Kuna msemo usemao "everything happens for a reason" yaani kila kinachofanyika kina sababu. Lakini kuna vitu vinatokea sisi binadamu wa jicho la kawaida, hatujui kwa nini kitu fulani kimetokea, mfano mpaka hapa ninapoandika, hakuna mtu yeyote ajuaye for sure kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli alitwaliwa mapema vile?. Ila miongoni mwetu kuna baadhi yetu wenye jicho la tatu, jicho la Roho, wanajua lakini hawasemi!.

Tanzania tunakumbwa na baadhi ya mabalaa na majanga kutokana na kumchukiza Mungu kwenye mambo fulani fulani yanahusiana na uporwaji wa haki za Watanzania za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa!.

Naamini Mungu ana makusudi fulani haki hizi zirejeshwe, hivyo Mungu akamuelekeza Rais Samia kumkumbuka Prof. Kabudi ambaye ni Profesa wa sheria na bingwa wa Katiba akamsaidie kwenye Wizara ya sheria.

Paskali
Hapo Chini nimekukoti

"Kuna msemo usemao "everything happens for a reason" yaani kila kinachofanyika kina sababu. Lakini kuna vitu vinatokea sisi binadamu wa jicho la kawaida, hatujui kwa nini kitu fulani kimetokea, mfano mpaka hapa ninapoandika, hakuna mtu yeyote ajuaye for sure kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli alitwaliwa mapema vile?. Ila miongoni mwetu kuna baadhi yetu wenye jicho la tatu, jicho la Roho, wanajua lakini hawasemi!."
 
Yes Mkuu mwananyaso , yes tuko watu tunajua na hatusemi, ila tunawasaidia hawa waliopo waepuke. Angalia tarehe ya bandiko hili na maudhui yake Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake! udhalimu uliofanyika uchaguzi wa 2025 ume cost life ya mtu, tunakwenda kwenye uchaguzi mwingine kwa udhalimu ule ule...

Mungu ameingilia kati kumuongoza Rais Samia kuteua watu waadilifu wenye uwezo wa kusaidia kuondoa udhalimu huo.
P
 
Kwenye hotuba kabudi alisema ni vizuri kutekeleza maekekezo ya aliyekuteua Bila kujali ulimshauri vingonenevyo. Kwa maana hiyo prof. Kabudi, atatekeleza mapenzi ya kibinadamu .
OVA
.
 
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3072962

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani na Tanzania kwenye mambo fulani yanayohusu Katiba, sheria na haki. Swali ni Je Prof. Kabudi atatimiza mapenzi ya Mungu aliyemteua kupitia kwa binadamu Rais Samia au atatimiza mapenzi ya binadamu aliyemteua?.

Kuna msemo usemao "everything happens for a reason" yaani kila kinachofanyika kina sababu. Lakini kuna vitu vinatokea sisi binadamu wa jicho la kawaida, hatujui kwa nini kitu fulani kimetokea, mfano mpaka hapa ninapoandika, hakuna mtu yeyote ajuaye for sure kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli alitwaliwa mapema vile?. Ila miongoni mwetu kuna baadhi yetu wenye jicho la tatu, jicho la Roho, tunajua kuwa kutwaliwa kwake has to do with karma lakini hatusemi ni karma ya nini exactly kwasababu no one knows zaidi ya yeye na Mungu wake!, hivyo tukiona viongozi wetu wanaendelea kufanya mambo ambayo yanaweza kusababisha karma repercussions, kuhusiana na dhulma na uporwaji wa haki, tunajitolea kusaidia kama hivi ili kuwaepushia viongozi wetu wa sasa waliopo to do the right thing na kuepuka a bad karma accumulation and repercussions. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Tanzania tunakumbwa na baadhi ya mabalaa na majanga kutokana na karma za kumchukiza Mungu kwenye mambo fulani fulani yanahusiana na uporwaji wa haki za Watanzania za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa!.

Naamini Mungu ana makusudi fulani na Tanzania haki hizi zirejeshwe, hivyo Mungu akamuelekeza Rais Samia kumkumbuka Prof. Kabudi ambaye ni Profesa wa sheria na bingwa wa Katiba akamsaidie kwenye Wizara ya sheria.

Kwa Tanzania, mtu ukiteuliwa na Rais kumsaidia katika wadhifa fulani, kuna wengi badala ya kumsaidia kwa kuwajibika, wao wanamshukuru mteuzi na badala ya kuwajibika kumsaidia mteuzi kwa kuwahudumia wananchi kwa weledi, wao wanamshukuru kuwateua kwenye ulaji na kufanya kazi ya kumtumikia mteule huku wakimuogopa kuliko Mungu. Matokeo yake mteule anakanyaga katiba wao wanaogopa kumwambia ukweli. Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Swali ni je Prof. Kabudi anajua uteuzi wake una mkono wa Mungu?, na kuna kitu anatakiwa kufanya kwenye katiba ili kutimiza mapenzi ya Mungu kwa Tanzania kuhusu katiba, sheria na haki?, au yeye atajihesabu ameteuliwa tena na Rais Samia katika Wizara ile ile ya sheria na atatekeleza mapenzi ya mteule wake vile vile kama alivyotekeleza mapenzi ya rais Magufuli?. Akiambiwa "ruka", badala ya kuuliza ni ruke nini, wapi ili iweje?, yeye akiambiwa tuu ruka, anauliza how high na kuanza kuruka?.

Kitendo cha mtu yule yule kuteuliwa Wizara ile ile kwa mara ya tatu!, hujiulizi kama ni uteuzi wa binadamu au ni Mungu ana makusudi na wewe?.

Namuomba mwalimu wangu Prof. Palamagamba Kabudi atimize mapenzi ya Bwana Mungu wake, na amini nawaambia, kama hawatatimiza mapenzi ya Mungu kuhusu huu ubatili wa katiba yetu, na ubatili wa sheria yetu ya uchaguzi kabla uchaguzi mkuu ujao wa 2025, Mungu atafanya kitu na mimi nitarejea humu kuja kuwashuhudia Mungu amefanya nini!.

Mungu Mbariki Prof Kabudi atimize Mapenzi yake.
Mungu Mbariki Rais Samia kukubali mapenzi ya Bwana kuhusu haki za Watanzania kuchagua na kuchaguliwa yatimizwe.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
Ukisikiliza hotuba ya kabudi utagundua kuwa atatekeleza mapenzi ya binadam 'Rais Samia'
 
Tuanze kufahamu mapenzi ya Mungu ni yapi?
Mapenzi ya Mungu ni kutimiza kusudio la Mungu juu yako. Prof. Kabudi aliteuliwa mara ya kwanza kuwa waziri wa Katiba na Sheria, kuna kitu alipaswa kufanya, hakufanya. Akaondolewa akapelekwa MFA, kisha akarudishwa sheria, bado hakukifanya, akatumbuliwa kwa fedheha bila kosa lolote!. Yeye na Lukuvi wakateuliwa washauri wa Rais Samia katika teuzi vilemba vya ukoka, hawana ofisi wala kasma!. Sasa wamerudishwa tena kwenye cabinet. Huu ni mpango wa Mungu, hivyo wanatakiwa kutimiza mapenzi ya Mungu kwa uteuzi huu wao.

Hakuna MUNGU anaweza kushirikiana na washirikina
 
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3072962

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani na Tanzania kwenye mambo fulani yanayohusu Katiba, sheria na haki. Swali ni Je Prof. Kabudi atatimiza mapenzi ya Mungu aliyemteua kupitia kwa binadamu Rais Samia au atatimiza mapenzi ya binadamu aliyemteua?.

Kuna msemo usemao "everything happens for a reason" yaani kila kinachofanyika kina sababu. Lakini kuna vitu vinatokea sisi binadamu wa jicho la kawaida, hatujui kwa nini kitu fulani kimetokea, mfano mpaka hapa ninapoandika, hakuna mtu yeyote ajuaye for sure kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli alitwaliwa mapema vile?. Ila miongoni mwetu kuna baadhi yetu wenye jicho la tatu, jicho la Roho, tunajua kuwa kutwaliwa kwake has to do with karma lakini hatusemi ni karma ya nini exactly kwasababu no one knows zaidi ya yeye na Mungu wake!, hivyo tukiona viongozi wetu wanaendelea kufanya mambo ambayo yanaweza kusababisha karma repercussions, kuhusiana na dhulma na uporwaji wa haki, tunajitolea kusaidia kama hivi ili kuwaepushia viongozi wetu wa sasa waliopo to do the right thing na kuepuka a bad karma accumulation and repercussions. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Tanzania tunakumbwa na baadhi ya mabalaa na majanga kutokana na karma za kumchukiza Mungu kwenye mambo fulani fulani yanahusiana na uporwaji wa haki za Watanzania za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa!.

Naamini Mungu ana makusudi fulani na Tanzania haki hizi zirejeshwe, hivyo Mungu akamuelekeza Rais Samia kumkumbuka Prof. Kabudi ambaye ni Profesa wa sheria na bingwa wa Katiba akamsaidie kwenye Wizara ya sheria.

Kwa Tanzania, mtu ukiteuliwa na Rais kumsaidia katika wadhifa fulani, kuna wengi badala ya kumsaidia kwa kuwajibika, wao wanamshukuru mteuzi na badala ya kuwajibika kumsaidia mteuzi kwa kuwahudumia wananchi kwa weledi, wao wanamshukuru kuwateua kwenye ulaji na kufanya kazi ya kumtumikia mteule huku wakimuogopa kuliko Mungu. Matokeo yake mteule anakanyaga katiba wao wanaogopa kumwambia ukweli. Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Swali ni je Prof. Kabudi anajua uteuzi wake una mkono wa Mungu?, na kuna kitu anatakiwa kufanya kwenye katiba ili kutimiza mapenzi ya Mungu kwa Tanzania kuhusu katiba, sheria na haki?, au yeye atajihesabu ameteuliwa tena na Rais Samia katika Wizara ile ile ya sheria na atatekeleza mapenzi ya mteule wake vile vile kama alivyotekeleza mapenzi ya rais Magufuli?. Akiambiwa "ruka", badala ya kuuliza ni ruke nini, wapi ili iweje?, yeye akiambiwa tuu ruka, anauliza how high na kuanza kuruka?.

Kitendo cha mtu yule yule kuteuliwa Wizara ile ile kwa mara ya tatu!, hujiulizi kama ni uteuzi wa binadamu au ni Mungu ana makusudi na wewe?.

Namuomba mwalimu wangu Prof. Palamagamba Kabudi atimize mapenzi ya Bwana Mungu wake, na amini nawaambia, kama hawatatimiza mapenzi ya Mungu kuhusu huu ubatili wa katiba yetu, na ubatili wa sheria yetu ya uchaguzi kabla uchaguzi mkuu ujao wa 2025, Mungu atafanya kitu na mimi nitarejea humu kuja kuwashuhudia Mungu amefanya nini!.

Mungu Mbariki Prof Kabudi atimize Mapenzi yake.
Mungu Mbariki Rais Samia kukubali mapenzi ya Bwana kuhusu haki za Watanzania kuchagua na kuchaguliwa yatimizwe.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
Huyo mzee angerudi UDSm kufundisha sheria hiz nafasi za kisiasa hazimfai kabisa. professa unajiita ulitolewa jalalani si upumbavu
 
Back
Top Bottom