UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Athumani Selemani Mbuttuka kuwa Msajili wa Hazina

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,003
5,543
Rais John Pombe Magufuli amteua Bw. Athumani Selemani Mbuttuka kuwa Msajili wa Hazina.

Uteuzi wa Bw. Mbuttuka umeanza leo Juni 6, 2018.

Kabla ya uteuzi huu Bw. Mbuttuka alikuwa Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Taifa(DAG) katika Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali(NAOT)

Bw. Mbuttuka anachukua nafasi ya Bw. Oswald Mashindano ambaye amestaafu.

 
Seriously? Wakati anateuliwa umri wake ulikuwa haujulikani! mbona too soon!
 
product ya UDSM miaka ya 1999's na Lindi Sekondari. Jamaa yupo vizuri sana kichwani
 
Lindi , Chidya shule za hovyo! Rudia
Ni zipi shule zisizo za ovyo, u"ovyo" wa shule unapimwa na nini .?
Nenda taratibu mkuu, na rudia kusoma nilichokiandika kwa sababu angekuwa amesoma shule za ovyo kama unavyodai asinge wakimbiza waliosoma shule zisizo za ovyo akiwa pale UDSM
 
Bora mliofunga mmekmbukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…