UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,876
6,186
Wadau hamjamboni nyote?

Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa

Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo.

Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne kuanzia 2018-2021

Mwaka 2023 aliwafananisha marubani wa Jeshi la Israel yaani IDF kuwa sawa na wanyama akiwatuhumu kuua raia wasiokuwa na hatia yeyote

Hii ni mara ya kwanza kihistoria wizara ya ulinzi ya nchi hiyo kuongozwa na mtu kutoka Jeshi la anga la nchi hiyo

Hakuna kauli yeyote kutoka Jeshi la Israel hadi sasa kuhusu uteuzi huo

Soma kwa kimombo hapo chini:

Iran nominates ex-Air Force chief as defense minister

By AP

Today, 12:50 pm

Iranian President Masoud Pezeshkian names Gen. Aziz Nasirzadeh, an F-14 Tomcat pilot, as defense minister.

He was chief of the Iranian Air Force in 2018-2021.

This would be the first time that a member of Iran’s air force headed the defense ministry.

ALIPOTEULUWA KUONGOZA KIKOSI CHA ANGA

Iran Appoints Nasirzadeh As Chief Of Country’s Air Force

August 20, 2018

Iran's supreme leader has appointed a former F-14 Tomcat pilot and veteran of the 1980s Iran-Iraq war as the new commander of the country’s air force, Iranian media are reporting.

The official IRNA news agency on August 19 said that Ayatollah Ali Khamenei has named Brigadier General Aziz Nasirzadeh as the new air force chief.

Nasirzadeh has been the air force's acting commander since 2017. He succeeds General Hassan Shahsafi, who assumed the post in 2008.

Officials said the move was made as part of a routine reshuffling of military leaders.

Nasirzadeh flew U.S.-made F-14 Tomcats, which Iran begin purchasing from the United States in 1976, before the country’s 1979 Islamic Revolution, which led to the breaking of ties between the two countries.

Many of the Tomcat pilots at the time received training in the United States, although it was not reported if Nasirzadeh had done so.

Based on reporting by AP, Press TV, and IRNA

2023 ALIWAFANANISHA MARUBANI WA IDF JESHI NA WANYAMA KWA KUUA RAIA WASIO NA HATIA

TEHRAN- Resembling the Israeli pilots as savage animals attacking defenseless people, the Deputy Chief of Staff of the Iranian Armed Forces Brigadier General Aziz Nasirzadeh on Tuesday posed a question to upholders of international law.

“I am myself a fighter pilot and I witnessed that during the imposed war, our pilots never carried out an operation against civilians, but today Israeli pilots, akin to animals, kill defenseless people,” General Nasirzadeh said in direct reference to Saddam Hussein’s war against Iran in the 1980s.

Israeli piolets have been carpeting the coastal enclave of Gaza with bombs since October 7, killing more than 10,000 people, most of them women and children. Actually, Israel has dropped an equivalent of two atomic bombs on the people of Gaza.
 
Attachments

  • Aziz_Nasirzadeh_3681039.jpg
    Aziz_Nasirzadeh_3681039.jpg
    91 KB · Views: 1
Nikiripoti kutokea hapa "siato" tukio tunalifuatilia vyema
1723371426852.png
 
Iran cannot risk an all out war with Israel. Those Arabs who are now cheering for it will abandon them when american and Europeans start sending their missiles. Also it's economy being under sanctions for too long can not withstand a full blown war.
Russia has been able to cope because their economy has been preparing for the sanctions since 2014. Also, it has more resources at hand and an ability to send it's oil to China without using any sea or ocean to send them.
Wadau hamjamboni nyote?

Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa

Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo.

Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne kuanzia 2018-2021

Hii ni mara ya kwanza kihistoria wizara ya ulinzi kuongozwa na mtu kutoka Jeshi la anga la nchi hiyo

Hakuna kauli yeyote kutoka Jeshi la Israel hadi sasa

Soma kwa kimombo hapo chini:

Iran nominates ex-Air Force chief as defense minister

By AP

Today, 12:50 pm

Iranian President Masoud Pezeshkian names Gen. Aziz Nasirzadeh, an F-14 Tomcat pilot, as defense minister.

He was chief of the Iranian Air Force in 2018-2021.

This would be the first time that a member of Iran’s air force headed the defense ministry.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa

Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo.

Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne kuanzia 2018-2021

Mwaka 2023 aliwafananisha marubani wa Jeshi la Israel yaani IDF kuwa sawa na wanyama akiwatuhumu kuua raia wasiokuwa na hatia yeyote

Hii ni mara ya kwanza kihistoria wizara ya ulinzi ya nchi hiyo kuongozwa na mtu kutoka Jeshi la anga la nchi hiyo

Hakuna kauli yeyote kutoka Jeshi la Israel hadi sasa kuhusu uteuzi huo

Soma kwa kimombo hapo chini:

Iran nominates ex-Air Force chief as defense minister

By AP

Today, 12:50 pm

Iranian President Masoud Pezeshkian names Gen. Aziz Nasirzadeh, an F-14 Tomcat pilot, as defense minister.

He was chief of the Iranian Air Force in 2018-2021.

This would be the first time that a member of Iran’s air force headed the defense ministry.

ALIPOTEULUWA KUONGOZA KIKOSI CHA ANGA

Iran Appoints Nasirzadeh As Chief Of Country’s Air Force

August 20, 2018

Iran's supreme leader has appointed a former F-14 Tomcat pilot and veteran of the 1980s Iran-Iraq war as the new commander of the country’s air force, Iranian media are reporting.

The official IRNA news agency on August 19 said that Ayatollah Ali Khamenei has named Brigadier General Aziz Nasirzadeh as the new air force chief.

Nasirzadeh has been the air force's acting commander since 2017. He succeeds General Hassan Shahsafi, who assumed the post in 2008.

Officials said the move was made as part of a routine reshuffling of military leaders.

Nasirzadeh flew U.S.-made F-14 Tomcats, which Iran begin purchasing from the United States in 1976, before the country’s 1979 Islamic Revolution, which led to the breaking of ties between the two countries.

Many of the Tomcat pilots at the time received training in the United States, although it was not reported if Nasirzadeh had done so.

Based on reporting by AP, Press TV, and IRNA

2023 ALIWAFANANISHA MARUBANI WA IDF JESHI NA WANYAMA KWA KUUA RAIA WASIO NA HATIA

TEHRAN- Resembling the Israeli pilots as savage animals attacking defenseless people, the Deputy Chief of Staff of the Iranian Armed Forces Brigadier General Aziz Nasirzadeh on Tuesday posed a question to upholders of international law.

“I am myself a fighter pilot and I witnessed that during the imposed war, our pilots never carried out an operation against civilians, but today Israeli pilots, akin to animals, kill defenseless people,” General Nasirzadeh said in direct reference to Saddam Hussein’s war against Iran in the 1980s.

Israeli piolets have been carpeting the coastal enclave of Gaza with bombs since October 7, killing more than 10,000 people, most of them women and children. Actually, Israel has dropped an equivalent of two atomic bombs on the people of Gaza.
Hata wakimteua shetani iran haiwezi israel ataishia mikwara tu
 
Wakiamua mbona watamtungua akiendesha kikao na watampasua yeye tu na chawa wake katikati ya kusanyiko.

La muhimu atulie na aoneshe ushirikiano sio kujifanya mjuaji mbele ya wajuaji. Achukue ushauri huu hiyo ndio salama yake.
 
Baraza la mawaziri lamara hii limenangwa sana na wabunge wengi wa iran sijajua kwanini
Nadhani tokea nianze kuifatilia Iran kwa uchache wangu wakuifatilia naona huyu bwana kanangwa sana kwenye cabinet tokea itokee kwa rouhani
Ila nadhani sababu kubwa nikwamba wahafidhina hawakua wanamtaka huyu walikua wanamtaka jalil ila kwakua demokrasia ya iran inanguvu basi demokrasia imeachwa iamue mshindi
 
Israel ni ka nchi kenye eneo dooogo kama mkoa wa Pwani, lakini kanazitisha nchi zote za kiarabu hapo middle....??
 
Baraza la mawaziri lamara hii limenangwa sana na wabunge wengi wa iran sijajua kwanini
Nadhani tokea nianze kuifatilia Iran kwa uchache wangu wakuifatilia naona huyu bwana kanangwa sana kwenye cabinet tokea itokee kwa rouhani
Ila nadhani sababu kubwa nikwamba wahafidhina hawakua wanamtaka huyu walikua wanamtaka jalil ila kwakua demokrasia ya iran inanguvu basi demokrasia imeachwa iamue mshindi
Yeah upo sahihi!... wahafidhina walitamani mtu mwenye msimamo mkali ashike nchi ila hawa moderate wazuri Sana maana ni wepesi kufanya mazungumzo mfano ya kulegezewa vikwazo au kupungiza mivutano na mahasimu mfano Rouhani
 
Back
Top Bottom