Erick Kalemela
R I P
- Nov 19, 2017
- 815
- 1,023
Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
KM anabakia cheo kimojaAbas vipi
Msigwa bado anajiita Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu?
SureLazima mama awake watu wake anao waamini, ili siri za serikali kutoka Ikulu zitunzwe vzri
Hili Swali kwanini hukuliuliza wakati wa Dictator....!?Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Alikuaga TBCTupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Mzaliwa wa Tanganyika au Zanzibar ?Alikuaga TBC
Baadaye akaenda azam kama sikosei