UTEUZI: Ally Kamwe ateuliwa Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania kuwa Balozi wa kutangaza kuelimisha kuhusu fursa za zabuni kidigitali

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,240
7,342
Wadau hamjamboni nyote?

Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni kidigital na kurahisisha michakato ya ununuzi pamoja na kuondoa Janja janja katika ununuzi wa UMMA.

PPRA
 
Attachments

  • 1724328089118.jpg
    1724328089118.jpg
    193.5 KB · Views: 2
Uteuzi umetoka kwa nani ndani ya serikali. Au niseme nani kamteua😃😃😃.kwa hiyo ataendelea kuwa afisa habari wa yanga au ataachia nafasi moja au zote mbili kwa pamoja .nafasi hiyo mara ya kwanza ilikuwa inashikiliwa na nani Au ni kitengo kipya.samahani lakini kwa kuuliza hivyo na msianze kunitukana matusi
 
hahahahaha, mbona kama umepanic.

Tunateua tulio karibu nao kwenye inner circle yetu ili kalamu iendelee, wengine mtaendelea kuwa wapiga zumari wetu na kuturahisishia chakula chetu kalamuni.
 
Uteuzi umetoka kwa nani ndani ya serikali. Au niseme nani kamteua😃😃😃.kwa hiyo ataendelea kuwa afisa habari wa yanga au ataachia nafasi moja au zote mbili kwa pamoja .nafasi hiyo mara ya kwanza ilikuwa inashikiliwa na nani Au ni kitengo kipya.samahani lakini kwa kuuliza hivyo na msianze kunitukana matusi
Unaelewa maana ya balozi lakini?
 
Uteuzi umetoka kwa nani ndani ya serikali. Au niseme nani kamteua😃😃😃.kwa hiyo ataendelea kuwa afisa habari wa yanga au ataachia nafasi moja au zote mbili kwa pamoja .nafasi hiyo mara ya kwanza ilikuwa inashikiliwa na nani Au ni kitengo kipya.samahani lakini kwa kuuliza hivyo na msianze kunitukana matusi
Usivyo na akili ukisikia uteuzi unawaza kuingia ofisini na kupata posho bila jasho
 
Back
Top Bottom