Dr. Wansegamila JF-Expert Member Feb 3, 2012 2,955 8,105 Feb 15, 2016 #1 Nawakaribisha wananzengo tupige kura zetu.
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,746 Feb 15, 2016 #4 Haujaniridhisha, unaniboresha tu
G Gamba la Chuma JF-Expert Member Feb 11, 2012 1,243 341 Feb 15, 2016 #5 Umerishisha 100%. Ni mtaifa, hana mitandao wala makundi
M Martinez JF-Expert Member Aug 20, 2010 525 160 Feb 15, 2016 #8 Sasa hivi wapinzani sio ukawa, bali ni mafisadi na majipu waliokuwa wananufaika na udhaifu wa awamu iliyopita
Sasa hivi wapinzani sio ukawa, bali ni mafisadi na majipu waliokuwa wananufaika na udhaifu wa awamu iliyopita
slimshedy JF-Expert Member Feb 6, 2016 1,049 1,012 Feb 15, 2016 #10 Kwangu 20% ahadi alizotoa bado haja timiza nimapema sana ninaloliona hapa ni elimu bure na majipu tu hamna lingine lililo kwenye ahadi limetimizwa kwa upande wa zanzibar utatuzi wake nimeona tu atakayeleta fyoko fyoko cjui my be tumpe muda
Kwangu 20% ahadi alizotoa bado haja timiza nimapema sana ninaloliona hapa ni elimu bure na majipu tu hamna lingine lililo kwenye ahadi limetimizwa kwa upande wa zanzibar utatuzi wake nimeona tu atakayeleta fyoko fyoko cjui my be tumpe muda