Utawala wa Rais Donald Trump unafikiria kuongeza vizuizi vya kusafiri kwa raia kutoka nchi 41 kati ya hizo za Afrika ni 22

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
8,061
18,007
Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza wa Rais Trump, kwa mujibu wa maafisa walioko karibu na suala hilo.

Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Rasimu ya orodha ya mapendekezo iliyotayarishwa na maafisa wa kidiplomasia na usalama inapendekeza orodha ya "nyekundu" yenye nchi 11, ambazo raia wake watapigwa marufuku kabisa kuingia Marekani. Nchi hizo ni: Afghanistan, Bhutan, Cuba, Iran, Libya, Korea Kaskazini, Somalia, Sudan, Syria, Venezuela, na Yemen, maafisa wamesema
photo_2025-03-16_00-30-32.jpg
Screenshot 2025-03-16 005332.png
 
Rekebisha title yako. Siyo nchi 41 za Afrika bali nchi 41 (zikiwemo 22 za Afrika na zilizobaki kutoka mabara mengine). Na haya bado ni mapendekezo tu. List inaweza kubadilika.

A: Red List. Hawa hawataruhusiwa kabisa hata iweje!

20250316_001944.jpg


B: Yellow List. Visa za kawaida hazitawezekana labda tu kwa wafanyabiashara wakubwa. Usaili mkali wa kupatiwa visa...[B/]

20250316_002030.jpg


C: Orange List. Masharti nafuu. Usaili mkali wa kupatiwa visa; na mengineyo.

20250316_002006.jpg


Soma zaidi hapa: Full list of countries that may face Donald Trump's travel bans and curbs
 
Rekebisha title yako. Siyo nchi 41 za Afrika bali nchi 41 (zikiwemo za Afrika na mabara mengine)

A: Red List. Hawa hawaruhusiwi kabisa hata iweje!

View attachment 3272076

B: Yellow List. Visa za kawaida hazitawezekana labda tu kwa wafanyabiashara wakubwa. Usaili mkali wa kupatiwa visa...[B/]

View attachment 3272084

C: Orange List. Masharti nafuu. Usaili mkalu wa kupatiwa visa; na mengibeyo

View attachment 3272081

Soma zaidi hapa: Full list of countries that may face Donald Trump's travel bans and curbs
We si unaona wasomi hao, wakiambiwa waende VETA, kelele nyingi!
Kwa hali hii ni heri waende tu.
 
Back
Top Bottom