bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
CWT mkoa wa Mwanz kwa kushirikiana na maofisa kutoka waizara ya Utumishi wa Umma iliaandaa kliniki ya utatuzi wa changamoto za walimu jana 13, October 2024.
Badala ya kutatua changamoyo kilichotokea ni maafisa wa Utumishi Dodom kutoa ushauri tu na hakuna afisa aliyetatua changamoto hata moja.
Kwakweli walimu wana changamoto nyingi sana ambazo zinatakiwa kutatuliwa Ili kazi ifanyike kwa ufanisi.
Mfano serikali iliahidi watumishi kupandishwa madaraja wanayostahili ikiwemo mserereko lakini asilimia kubwa hawajapata madaraja hayo.