Wacha wafu wazike wafu wao!Habari zenu wanajamvi.
Hivi karibuni kumekuwa na utata hapo kanisani. Kwamba inavyoonyesha kuwa baada ya kifo cha mwanzilishi wa kanisha hilo Elia R.I.P kumekuwa na utata unaonekana umekaaa kimaslahi zaid.
Hali ipo hivi. Mke wa Mwanzilishi wa kanisa hilo anaidiwa kutaka kujimilikisha kanisa hilo ili aweze kufanya yale anayotaka hapo siku za mbeleni
Kumekuwa na migongano ya hoja hata kufikia walinzi kupewa oda ya kuzuia waumini kuingia kanisani hapo.
Habari nilizopewa na muumin wa muda mrefu wa kanisa hilo kuwa sasa, kulikuwa na plan za kubadilisha vitasa vya vilango ili kufungwa kwa kanisa ilo.
Waumini wa kanisa hilo na watu waishio around na kanisa hilo wanaeza kutujuza zaidi.
Hawa jamaa wana imani ya ajabu ukijiunga tu na dhehebu lao wanakupatia majina mapya kuanzia lakwanza mpaka la mwisho na hata mji unaoishi wanaubadili jina mfano DAR inaitwa Siloam kwani wanaamini majina yote ya awali ni ya kishetani pia biblia inaitwa neno na wanaamini pia kuwa muumini wao wa kweli haugui wala hafi na hata Munuo wanaamini hakufa bali alipaa SHIKA NENO TENDA NENO wanapenda kuanza ibada zao saa 10 alfajiri ili kuwahi mibaraka ambayo wanaamini huwa wanapokwa na wale wanaopiga azana saa 11 asubuhi
Hahahahahaaaa umenichekesha.Hawa jamaa wana imani ya ajabu ukijiunga tu na dhehebu lao wanakupatia majina mapya kuanzia lakwanza mpaka la mwisho na hata mji unaoishi wanaubadili jina mfano DAR inaitwa Siloam kwani wanaamini majina yote ya awali ni ya kishetani pia biblia inaitwa neno na wanaamini pia kuwa muumini wao wa kweli haugui wala hafi na hata Munuo wanaamini hakufa bali alipaa SHIKA NENO TENDA NENO wanapenda kuanza ibada zao saa 10 alfajiri ili kuwahi mibaraka ambayo wanaamini huwa wanapokwa na wale wanaopiga azana saa 11 asubuhi
Hahahahahaaaa umenichekesha.
Ila ndo madhala ya hz tasisi mwenye maono akifa na dhehebu hufa inabd warud kusoma misingi ya kiuongoz kwa baba zao Katoliki,Lutheran,anglican.