Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 505
- 1,002
Wasalam mabibi na mababu...
Bila kupoteza muda, zama hizi za Mama samia kumezuka utaratibu ambao sasa washaufanya ni tabia endelevu katika suala Zima la semina za walimu nchini.
Utaratibu huo ni kuwa semina yoyote labda inayohusu maadili, inayohusu mitaala, inayohusu mahiri childhood education yaani anachukuliwa Mwalimu mmoja tu katika kata ndie anaenda kushiriki hayo mafunzo then akirudi huyo Mwalimu anakuja kuwafundisha walimu wenzake katika mashule jambo linalokera sana yani mwenzenu ameenda na kulipwa lakini nyie walimu wengine mlobaki kwenye kata hakuna cha posho yoyote, tena mnachangishwa buku mbili za chakula, mbebe marker pen, Manila kwaajili ya mafunzo hivi Hawa watu wako serious kabisa na Elimu ya Tanzania??
Na huyo aloenda kwenye mafunzo mkimbana kisawasawa kwenye maswali anakwambia sisi hatujafundishwa ya maana tumetumiwa vitini tuje tuwape msome.... Hv Mwalimu kwenye hii nchi wamemuweka fungu gani? Huo ufanisi wa elimu utatoka wapi kwa kupelekwa mtu mmoja katika kata??
Jambo lingine ni semina za mitihani kidato cha pili kuunganishwa na kidato cha nne, yan mnapigwa ilimradi iende katika mitihan miwili mikubwa ya taifa kufanya yote hv n nn kwamba mnabana matumizi au? Ufanisi unatoka wapi hapo?
Mheshimiwa Rais Mama Samia, ingilia kati utaratibu huu wa kijinga kama ni semina za walimu wanufaike wote kimaslahi na kimafunzo sio jambo la kupelekwa mtu mmoja afu anakuja kufundsha kata nzima! Mwalimu hana posho yoyote zaidi ya mshahara, ata hvo visemina uchwara vikipatikana bado Mwalimu anabanwa anapelekwa mmoja tu, hivi kuwa Mwalimu katika hii nchi ni laana ama? Mheshimiwa Rais libebe hili kwa mikono miwili hapo zamani hakukuwa na ujinga huu.