Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao.
1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini.
2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda.
3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa ujumla.
*Tutakuwa tukiimba"Freedom is coming tomorrow"
NB:- Kamwe usichukue silaha yoyote ile, maana hatuendi vitani. Twende kwa amani na kurudi kwa amani.
Freedom is coming tomorrow.