Jendahyeka
Member
- May 17, 2021
- 46
- 122
Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu....
Naomben utaratibu wa kuwa Mzenji nile bata kotekote.
Naomben utaratibu wa kuwa Mzenji nile bata kotekote.