UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
58,034
32,806
HABAARINI WAPENDWA
WA ABOOD BUS SEEVICE

KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU

LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO

MZIGO UMETOKEA MOROGORO
UNAKUJA DAR

AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA

KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI YA MSIBA WA MAMAYAO MZAZI

OFISI YA SHEKILANGO KUPITIA MZEE MMOJA AKAHANGAIKA SIMU ZOTE

AKAPIGA MORO KWA JAMAA ANAITWA HAMISI
ANASEMA KAZI YAKE KUTUMA NA AMETUMA SWALA LA KUFIKA WAWASILIANE NA OFISI ZA HUKU

HUKU WAKAPIGA URAFIKI WAKASEMA KUNA GARI HAIKUINGIA SHEKILANGO JANA IMEACHA MIZIGO MINNE HAPA

AKATAKA MAJINA HAIPO
IKALETWA HAIPO

WAKAPIGA. MWEMBECHAI HAUPO

WAKARUDI KWA HAMISI AKASEMA YEYE HAELEWI TUSUBIRI MPAKA KESHO HANA CHA KUFANYA

LEOUNAHITAJIKA KWA AJILI YA MSIBA INAHUZUNISHA SANA SANA

OFISI HIZI ZA KUZISIMAMIA

HAPA WATU WA OFISI HATA HAWANA DILI TENA NA WAO WAKAONDOKA

ABOOD BUS SERVICE
AJIRINI WATU WENYEHEKIMA HUYU HAMISI ANAJIBU OVYO SANA
 
Poleni sana kwa msiba, namba ya kuwapandishia kichaa hiyo hapo
0748771551
 
Mtu unajisikiaje kusherehekea sikukuu tena ya kidini kwa mchele wa wizi!

Mchele wenyewe kwa ajili ya chakula cha msiba!

NB:Namba unazopewa bila utambulisho wa mwenye nazo na uhusika wake na Abood upige ukiwa na akili timamu!
 
Hawa mawakala wa mabasi ni waizi sana.
Tena hizi zilizojichokea ndo hatari kabisa.
Mimi nilisafirisha mzigo kampuni ya MUMUK arusha-karagwe wale watu ni mavi kabisa.
Wanakwambia sisi ndo wachaga wenyewe huwezi kutufanya chochote.
 
Huyo Hamisi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani? Pdidy

Kama ndo huyo basi nishawahi kumpandishia kichaa, jamaa ni mshenzi na sijui kwanini mpaka saiv bado yupo ofisini?
Huyohuyooo ana nyodo kama ofisi za babayake

Baada ya kuandika huku
Kesho yakee wanepiga kwa mhusika wakachukue mzigo ati ulikuwa mwembe chai

Na mwembechai wamepigiwa wakasema hakuna mzigo iliyobakia

Sijuii hii waliipata wapi tena minne mns kuna wengine wamesafa kama dada yetu

Aibusana kampuni kubwa kama hikii
 
ATI MZIGO

ULIPANDANDISHWA BASI YA TANGA tokaaa morogoro

Aisee mzigooumeandikwa dar

Unaingizaje tanga....

UKAJA KESHO YAKE WAKAUSHUSHA MBWECHAI

SASA SISI WAMESOTA 4 DAYS

HIO KESHO YAKE KWANN AUKUPATIKANA
INASHANGAXA SANA
 
Huyohuyooo ana nyodo kama ofisi za babayake

Baada ya kuandika huku
Kesho yakee wanepiga kwa mhusika wakachukue mzigo ati ulikuwa mwembe chai

Na mwembechai wamepigiwa wakasema hakuna mzigo iliyobakia

Sijuii hii waliipata wapi tena minne mns kuna wengine wamesafa kama dada yetu

Aibusana kampuni kubwa kama hikii
Pole sana mpwa umefoka kweli kweli kwenye huu uzi vipi na ofisi uliwacharukia hivi hivi ?
Japo msiba bila wali bado marehemu haendi kwa amani kabisa
 
Mtu unajisikiaje kusherehekea sikukuu tena ya kidini kwa mchele wa wizi!

Mchele wenyewe kwa ajili ya chakula cha msiba!

NB:Namba unazopewa bila utambulisho wa mwenye nazo na uhusika wake na Abood upige ukiwa na akili timamu!
Yaani ndugu
Tumenunuwa kg 50 za mchele za msiba

Wakati mchele umetumwa kg 60

Umehifadhiwa kwa ujinga wa mtu mmoja ofisini kwake aisee sitosahauu
 
Pole sana mpwa umefoka kweli kweli kwenye huu uzi vipi na ofisi uliwacharukia hivi hivi ?
Japo msiba bila wali bado marehemu haendi kwa amani kabisa
Mpwaaa ninaowacharukia nauliza mamanager wanasema hakuna manager wao ndio kila kitu duh nkasema iweje ofisi kubwa kama pale shekilango inakosaa mnager

Nafikiri shidaa uongozii mkuu maana

Kuna mzee mmoja kasaidia kutafuta huyo huyo kapiga shelkilango urafiki hawana

Nkauliza unaitwa nani akasema ayuko abood ameajiriwa daywaka sio kama msimamizi
 
Poleni sana mkuu, wasiliana na hizi namba mtasaidika.
0768 099 654
065 300 0999
Hiyo ya pili nimeongea nar nikapiga sanasa aa badae akanikataa mazima kupokeaa mpakaa Yesu arudi

Nkaawatakia na nyir msiba mwema mkateseke hivihivi
 
Back
Top Bottom