Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,412
- 11,390
Nimeitoa huko twitter,
Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti.
Bila kupoteza muda ni kwamba inasemekana kampa red card mh: kisa tu kapost picha za harusi jambo ambalo mjuba hakutaka.
Kwani makubaliano yao ilikuwa ndoa iwe siri isijulikane lakini mh;uvumilivu ulimshinda akapost picha konki za harusi jambo ambalo home boy au mtangazaji maarufu na mwenye ndinga kali mjini hakupendezwa nalo akaona kwakuwa mh: kuvunja makubaliano basi njia rahisi ni kutemana naye.
Swali,
Kwanini presenter hakutaka mambo yawe hadharani?
Kwanini iwe siri?
Sema Mheshimiwa wala asipate taabu mimi nipo tayari kupostika hata kila baada ya sekunde tano na napostika vizuri tu,anachotakiwa kunivumilia ni gambe tu siwezi kuacha.
Ila mtangazaji kiboko mbona mh: ni pisikali tu mjuba umefeli wapi au ulitaka kula posho za bunge kisirisiri🤣