tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
mkuu naomba nikutafute kwa maelezo zaidiMkuu mimi nikurekebishe kidogo tu. Unaposema Bitcoin ni pesa inayotumiwa na drug lords na matapeli wa mtandao unakosea sana sana.
Mimi ni trader mzuri tu na nimeitumia Bitcoin mara kadhaa hasa kwenye kuinvest na pia katika online payment. Ukiwa unatumia Bitcoin haitapita kwa mtu wa kati kama fedha ya kawaida, itakuwa transaction kati yako na na mtu mwingine. Hutohitaji central bank, Mastercard wala receiver bank, hivyo umeepuka makato yote yasiyo na ulazima.
Hakuna uhalali wa kusema wanaotumia crypto currency wanatafuta njia za kujificha. Leo eBay, amazon, Alibaba, WordPress, overstock nk wote wanapokea malipo kwa bitcoin.
Pia huwezi kusema bitcoin ni scam wakati imekuwa listed kwenye stock markets kubwa zote duniani. Pia usiseme kua ni utapeli, mimi niliexchange dollar kwa bitcoins 6, kipindi hiko bitcoin 1 ilikua ni $716.6. Juzi dunia yote imeshuhudia kwa mara ya kwanza bitcoin ikiizidi thamani Dhahabu na kuwa the most expensive stock in the market. Leo bitcoin 1 inakimbilia 1300 USD.
So niseme kuwa ni vizuri ufanye utafiti mdogo kabla haujapost, ama niseme -usiseme kitu ambacho hauna uhakika nacho.
Absolutely trueMkuu mimi nikurekebishe kidogo tu. Unaposema Bitcoin ni pesa inayotumiwa na drug lords na matapeli wa mtandao unakosea sana sana.
Mimi ni trader mzuri tu na nimeitumia Bitcoin mara kadhaa hasa kwenye kuinvest na pia katika online payment. Ukiwa unatumia Bitcoin haitapita kwa mtu wa kati kama fedha ya kawaida, itakuwa transaction kati yako na na mtu mwingine. Hutohitaji central bank, Mastercard wala receiver bank, hivyo umeepuka makato yote yasiyo na ulazima.
Hakuna uhalali wa kusema wanaotumia crypto currency wanatafuta njia za kujificha. Leo eBay, amazon, Alibaba, WordPress, overstock nk wote wanapokea malipo kwa bitcoin.
Pia huwezi kusema bitcoin ni scam wakati imekuwa listed kwenye stock markets kubwa zote duniani. Pia usiseme kua ni utapeli, mimi niliexchange dollar kwa bitcoins 6, kipindi hiko bitcoin 1 ilikua ni $716.6. Juzi dunia yote imeshuhudia kwa mara ya kwanza bitcoin ikiizidi thamani Dhahabu na kuwa the most expensive stock in the market. Leo bitcoin 1 inakimbilia 1300 USD.
So niseme kuwa ni vizuri ufanye utafiti mdogo kabla haujapost, ama niseme -usiseme kitu ambacho hauna uhakika nacho.
Mbona Nime google Nimeona ni mambo Ya sports betting.Kiu na njaa ya mafanikio imesababisha kuibuka na mambo mengi ya kiakili kujipatia kipato.Ikiwemo kitu inaitwa D9 club,ukifatilia origin yake ni Brazil na inafanya kazi kutumia mfumo wa bitcoin ambao hutumiwa sana na drug lords na matapeli wa mtandaoni kwani kupitia bitcoin unaweza fanya miamala mtandaoni bila kujulikana na ukapokea ama kutuma kiwango kikubwa cha pesa.
Hawa jamaa wameingia Tanzania na wanamfumo wao wa kushawishi watu kujiunga kwa kuwaambia kua watakua matajiri ndani ya mda mfupi na maisha yao kubadilika.Na wabongo tunavyopenda slop wengi wamejikuta wakikopa pesa na kuingia huko.
Angalizo kwa serikali yetu ni kulinda wananchi wake kwani itakapo collapse hii system hawa raia hawatakua na pa kwenda kushtaki.
alie faidika atupe experience,kuna wakati refaro ilikuja ikashawishi lakini network yake ni ngumu mno.hii ni kamar ya kisasa.
Acha kudanganya watu, soma hiyo link useme wapi Amazon wanakubali bitcoin!!????Mkuu mimi nikurekebishe kidogo tu. Unaposema Bitcoin ni pesa inayotumiwa na drug lords na matapeli wa mtandao unakosea sana sana.
Mimi ni trader mzuri tu na nimeitumia Bitcoin mara kadhaa hasa kwenye kuinvest na pia katika online payment. Ukiwa unatumia Bitcoin haitapita kwa mtu wa kati kama fedha ya kawaida, itakuwa transaction kati yako na na mtu mwingine. Hutohitaji central bank, Mastercard wala receiver bank, hivyo umeepuka makato yote yasiyo na ulazima.
Hakuna uhalali wa kusema wanaotumia crypto currency wanatafuta njia za kujificha. Leo eBay, amazon, Alibaba, WordPress, overstock nk wote wanapokea malipo kwa bitcoin.
Pia huwezi kusema bitcoin ni scam wakati imekuwa listed kwenye stock markets kubwa zote duniani. Pia usiseme kua ni utapeli, mimi niliexchange dollar kwa bitcoins 6, kipindi hiko bitcoin 1 ilikua ni $716.6. Juzi dunia yote imeshuhudia kwa mara ya kwanza bitcoin ikiizidi thamani Dhahabu na kuwa the most expensive stock in the market. Leo bitcoin 1 inakimbilia 1300 USD.
So niseme kuwa ni vizuri ufanye utafiti mdogo kabla haujapost, ama niseme -usiseme kitu ambacho hauna uhakika nacho.
Mkuu fungua ubongo wako ujifunze sio unakomalia kukaa gizani ndani ya box. Hii ni 1 of the most trusted source -Forbes.Acha kudanganya watu, soma hiyo link useme wapi Amazon wanakubali bitcoin!!????
https://www.rewardspay.com/use-bitcoins-on-amazon
Lkn haimaanishi unaweza tumia amazon kama unavyotaka aminisha watu.Mkuu fungua ubongo wako ujifunze sio unakomalia kukaa gizani ndani ya box. Hii ni 1 of the most trusted source -Forbes.
https://www.forbes.com/sites/clareo...-amazon-home-depot-cvs-and-more/#3538340e2de2
Seattle-based bitcoin payment platform iPayYou this week announced a new feature called “Amazon Direct” that lets consumers transfer any dollar amount of bitcoin to use for purchases on Amazon.
“This is the only direct way to purchase on Amazon with bitcoin today,”