Ukweli ni upi sasa? Naeleza nilichokiona nimelala pale nimeyashuhudia hayo , Maji unapewa ndoo ukakinge Ghorofa ya chini , Ninyi ndo niloambiwa mnanufaika na Pesa chafu inayokusanywa hapo..Acha uongo
Thanks Kwa Ushuhuda , Lengo ni kurekebisha Hotel ipo Eneo zuri sana ni rahisi kwenda Popote Moshi Mjini , Asbuhi na jioni Muonekano wa Mlima Kilimanjaro ni Safi Kabisa , Ila Huduma ni Wizi MtupuNi kweli kabisa nimewahi kulala hapo, hii hotel iendane na wakati
Biashara Huria Haina Maana ya kuwa Holela, Imagine kila sehemu pangekuwa Hovyo kwa kigezo cha Huria Ungeishi vipi ? Tumia akili kufikiriHii ni dunia ya biashara huria,,,,ungeenda tu kwingine kwenye facilities hizo,mbona zipo nyingine nyingi tu!
Thanks Steph curry kwa nyongeza , Huwezi Panda Lift hadi awepo Controller Mfanyakazi wa humo , Button zake wanajua wao kuzi handle, Zaidi ya saa 3 usiku Controller anaondoka , na huduma ya Elevator/lift kwisha , kwa wale wapiga beer hapo Makumba bay mtapanda kwa kubebwaHii Hotel nashangaa kwanini matajiri wa Moshi hakuna anayetaka kuichukua atie pesa yake pale...
Ina view nzuri sana ya Mount Kilimanjaro na mji mzima wa Moshi hasa pale Round About ya CRDB/NMB mpaka kule TTCL...
Marekebisho ni kwenye vyumba vya kulala tu... Chakula chao kiko poa sana alafu ni bei nzuri... Kila nikifika Moshi siachi kwenda hii Hotel, mpaka yule mzee aliyekuwa anaendesha ile lift miaka ya 2007-10 alikuwaga rafiki yangu sana..
Thanks Steph, Hupandi Lift bila Kuwepo Controller wao , Button Zimechoka na wanajua namna wana vyozihandle, Controller ambao ni wahudumu mabinti wa humo wakiondoka Mteja imekula kwako , hasa kwa wale wapiga Vyombo /maji hapo Makumba bay mtapanda ngazi kwa kubebwaHii Hotel nashangaa kwanini matajiri wa Moshi hakuna anayetaka kuichukua atie pesa yake pale...
Ina view nzuri sana ya Mount Kilimanjaro na mji mzima wa Moshi hasa pale Round About ya CRDB/NMB mpaka kule TTCL...
Marekebisho ni kwenye vyumba vya kulala tu... Chakula chao kiko poa sana alafu ni bei nzuri... Kila nikifika Moshi siachi kwenda hii Hotel, mpaka yule mzee aliyekuwa anaendesha ile lift miaka ya 2007-10 alikuwaga rafiki yangu sana..
Hivi ile ni hotel ya serikal? Manake ni chafu kweli yani inanuka? Watumbua majipu itabidi walitumbue tu.Nilikuwa Safari ya Kikazi Mjini Moshi Tarehe 29-31, Dec, 2015. Muonekano wa Hotel na kuwa Centre ya mji vilinivutia, lakini kilicho ndani ya Hotel ni Wizi Unaoendana na Huduma Mbovu Kupindukia.
Chumba 30,000 /=, hakuna maji ndani ya vyumba , hakuna Television , Ceiling Fan Hazifanyi Kazi, Switch Socket Hazifanyi Kazi,
Niliongea na Baadhi ya Wahudumu na nikapitia vyumba vyote hali ni hiyo hiyo na kunieleza Uongozi umeshaelezwa lakini hawataki kubadilika.
Serikali / Ofisa Biashara Mjini Moshi Chukua Hatua Kutembelea Hotel Hiyo Kabla Jipu halijatumbuliwa.
Malalamiko ni mengi Mno..
Tatizo ile Lift ni zile za zamani... Ni ngumu ku'operate ndio maana akawekwa mtu pale.... Tatizo hii KNCU ya sikuhizi imekosa viongozi wazuri, hakuna uwekezaji wowote wanaoufanya sikuhizi, makato ya wanachama sijui yanaendaga wapi... Zamani makato ya wanachama ndio yalileta maendeleo kule Uchaggani kama kujenga Barabara, madaraja, shule na hospitali hata kusomesha watoto ndani na nje ya nchi...T
Thanks Steph, Hupandi Lift bila Kuwepo Controller wao , Button Zimechoka na wanajua namna wana vyozihandle, Controller ambao ni wahudumu mabinti wa humo wakiondoka Mteja imekula kwako , hasa kwa wale wapiga Vyombo /maji hapo Makumba bay mtapanda ngazi kwa kubebwa
Lile jengo lilijengwa na KNCU (Chama cha Ushirika cha wakulima wa Kahawa)... Lina Office, maduka na hiyo Hotel...Hivi ile ni hotel ya serikal? Manake ni chafu kweli yani inanuka? Watumbua majipu itabidi walitumbue tu.
Mtoa mada kanena ukweli mtupu..kuna siku niliingia Moshi saa saba usiku kwa vile kncu ipo karibu nikaona nijipumzishe tu ili asbh niendelee na safari..yaani nilijuta mbali ya anayosema mtoa mada lakini hata umeme mule ndani ya lile "gofu" ni wa mgao kwa vyumba.Acha uongo
Hii Hotel nashangaa kwanini matajiri wa Moshi hakuna anayetaka kuichukua atie pesa yake pale...
Ina view nzuri sana ya Mount Kilimanjaro na mji mzima wa Moshi hasa pale Round About ya CRDB/NMB mpaka kule TTCL...
Marekebisho ni kwenye vyumba vya kulala tu... Chakula chao kiko poa sana alafu ni bei nzuri... Kila nikifika Moshi siachi kwenda hii Hotel, mpaka yule mzee aliyekuwa anaendesha ile lift miaka ya 2007-10 alikuwaga rafiki yangu sana..
Asante kwa masahihisho... kwenye kuandika huwa nazichanganya sana hizi Bank mbili..Pale round about hakuna NMB mkuu, naamini ulitarajia kuandika NBC