*BABA MWENYE NYUMBA ANAJIFANYA MJANJA ANANIDAI KODI...NIMEKUTA AMEONGEZA KUFULI JUU YA KUFULI LANGU,NILICHOFANYA NIMEFUNGUA KUFULI LANGU NIKAFUNGA KWENYE MLANGO WAKE*
SASA HIVI NIPO KWA MWANANGU NACHEKI MECHI....KANITUMIA MESEJI ETI JIRANI HUTANIWI NJOO NYUMBANI KIJANA WANGU......