Kuna mambo yanapoendelea kuwepo kati ya wanandoa huwa kunapatikana furaha na amani katika maisha ya kila siku, ila kwa bahati mbaya kabisa amani na furaha hiyo huonekana kama haipo kutokana na sababu mbali mbali.Lakini sababu kuu haswa ni kukosekana mapenzi baina ya wanandoa .