Utamfanya nini mwanamke huyu?!

Nilibambikiziwa mimba badae nkagundua nikihudumia miezi 9+ 😅😁😅 nkaja gundua tarh za kujifungua hajifungui nkamtupa kaja kujifungua juzi naamini mungu anamnyoosha kila week ananpgia simu kuniomba nimsaidie elfu 2 ya kula nampa matusi ila hakomi kuntafta
 
Achana na huyo manzi kwani bei gani halafu kosa kubwa sana kwa vijana wengi ni kukubali na kulea mimba kwa manzi amabae haujaoa.
Wadogo zangu wewe kataa mimba mtoto akiwa ni wakwako atakuletea tu tena kuna wakina sisi tulio na damu kali kama wachina akizaliwa wanakuletea toto lako.
Kaa chonjo kataa mimba hakikisha hadi mtoto anazaliwa tena kama hafanani na wewe kimbia kabisaa.
 
Back
Top Bottom