Utafiti waonesha wenye nafasi ya kumrithi Gachagua ni Prof Kindiki(20%), Anne Waigiru (5%) na Raila Odinga(2%)

Nafasi kubwa ipo kwa Professor Kithure Abraham Kindiki hata
mwanzo chama cha UDA ndio kilikuwa kina mtaka yeye ila
Dr. William Ruto akaamua kumchagua Rigadhi Gachagua

Katika hili la Gachagua kufutwa kazi na kupelekwa nyumbani kwao
Mathira Nyeri kaunti nafasi hii itaenda kwa Professor Kindiki kutokea
Meru kaunti bado ni huko huko Mlima Kenya.

Kama wataamua kuzingatia jinsia wanaweza mchagua Anne Waiguru
nae ni wa huko huko Mlima Kenya.

Babaa yeye ataongoza from behind kwa sababu anaenda AU
mwakani kugombea Uenyekiti.
 
Baba ndio imeisha hiyo

Siasa ni Sayansi 😂😂
 
Huyo ni godfather hata akiwa nje ya serikali mambo yake yasipoenda anaweza akawavuruga,,,.....ndo maana wanasiasa hawakauki kwake mambo yakienda tofauti....kila kabila lina kingpin wake
Ni kweli kabisa Raila akiwa bado hai serikali haiwezi kumpuuza ana influence kubwa karibia Kenya nzima.
 
Nafasi kubwa ipo kwa Professor Kithure Abraham Kindiki hata
mwanzo chama cha UDA ndio kilikuwa kina mtaka yeye ila
Dr. William Ruto akaamua kumchagua Rigadhi Gachagua

Katika hili la Gachagua kufutwa kazi na kupelekwa nyumbani kwao
Mathira Nyeri kaunti nafasi hii itaenda kwa Professor Kindiki kutokea
Meru kaunti bado ni huko huko Mlima Kenya.

Kama wataamua kuzingatia jinsia wanaweza mchagua Anne Waiguru
nae ni wa huko huko Mlima Kenya.

Babaa yeye ataongoza from behind kwa sababu anaenda AU
mwakani kugombea Uenyekiti.
Kwa siasa za Kenya alichaguliwa Odinga Wakikuyu hawatakubali
 
Mbona alishakuwa Waziri mkuu enzi za Kibaki. Kwa sasa Wakikuyu

wengi adui yao mkubwa ni William Ruto kwa sababu yeye ndio engineer wa
kundolewa madarakani kwa kijana wa kutoka Nyeri.
 
Odinga ana AU inamsubiri,,,,hapo ngumu labda iwe vingine......ila Ruto kwa sasa kajisogeza karibu na wajaluo kuliko wakikuyu
Yes yeye anaenda AU, Ruto kawa mjanja kuamua awe karibu

na Wajaluo na Waluhya na kuwafuta kwenye ramani Wakikuyu ili hata baadae
wasipate tena. Lengo ni kuwaondolea ile dominance waliyoliyo kuwa nayo
muda mrefu.

Ila Wajaluo nao wanaweza kumgeuka Raila hivi karibuni na wakajiunga
na Wakikuyu kupambana na Ruto.
 
Back
Top Bottom