RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,434
- 2,699
Wewe ukisoma bandiko lako hili unalielewa?Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!?
Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!?
Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
Utaelewaje wakati wewe ni mtoto wa shule!!?Wewe ukisoma bandiko lako hili unalielewa?
Tumekuja sasa unatakaje? Yani tumetulia zetu tukiikaribisha wikendi in style mbwembwe kwa kuvuta bange , wee unakuja kutusumbua sumbua. Tume kuja sasa UNATAKAJE??π‘π‘π‘π‘π‘Utafiti hupingwa Kwa tafiti,wenye tafiti zao njooni!
Ahahahahaha! Basi ngoja waje wakubwa mimi nibaki nasoma komenti za "wakubwa zangu"! Ahahahahaha!!Utaelewaje wakati wewe ni mtoto wa shule!!?
Mbona haujaweka hata utafiti mkuu.... hahahahaaaaUtafiti hupingwa Kwa tafiti,wenye tafiti zao njooni!
Wahisani wanapoanza kujitoa Kwa nchi zetu,kila mtu afe kivyake ni rasmi vita vya kiuchumi vitaua mabenki yetu!Mbona haujaweka hata utafiti mkuu.... hahahahaaaa
Dalili za anguko la uchumi wa dunia??? hahahaha are you sure? Kwanini unasema hivo
Kivipi mabenki yatakufa?Wahisani wanapoanza kujitoa Kwa nchi zetu,kila mtu afe kivyake ni rasmi vita vya kiuchumi vitaua mabenki yetu!
Mtu yeyote ambaye hana majibu ya mambo magumu hutafuta kisingizo Ili apate pa kujishika...Wafanyakazi wataachaje kuwa mizigo kama hujawaongezea mishahara yenye kuleta maana siyo kiini macho Kwa Miaka kumi? Wataachaje kuwa mizigo kama wanaowaongoza wengi wao hawajui wanawaongoza kwenda wapi Ili iweje zaidi ya kutaka kutukuzwa na kusifiwa?Utafiti wa kijinga tu huo. Yaani wanategemea mtumishi wa umma mwenye akili timamu afanye kazi kwa moyo, halafu mwisho wa mwezi analipwa mshahara mbuzi!
Na wakati huo huo Mbunge anayetakiwa kujua tu kusoma na kuandika, analipwa mamilioni ya shilingi kila mwezi, hata asipochangia chochote!!
Kwakua na ma benki yenyewe yaliegemea Kwa wale ambao wanawategemea wafadhili badala ya kujenga uchumi wa watu wa kawaida...Mpaka waite maji ma!Wahisani wanapoanza kujitoa Kwa nchi zetu,kila mtu afe kivyake ni rasmi vita vya kiuchumi vitaua mabenki yetu!