Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Magazeti yenyewe ya Habari Leo na majira. Wameshituka nini? Kumbe wameshangamua kuwa hali siyo nzuri kwa Mheshimiwa the only option out is PROPAGANDA!Katika ripoti ya utafiti uliotolewa leo na gazeti la Habari Leo na Majira, inaonyesha Rais Magufuli kwa sasa anakubalika kwa asilimia 89, Jakaya Kikwete umaarufu umepanda na Lowassa kashuka zaidi...
Hii ni kiashiria kwamba uchaguzi ukifanyika leo Dr. Magufuli atashinda kwa zaidi ya asilimia 89.
Mytake:.. Hali ikiwa hivi, na kule upande mwingine Dr. Tulia akizidi kukaza nakiona rasmi kifo cha upinzani by 2020
Hata twaweza walipotoa utafiti wao mlisema hivyohivyo mliona yaliyowakuta?Magazeti yenyewe ya Habari Leo na majira. Wameshituka nini? Kumbe wameshangamua kuwa hali siyo nzuri kwa Mheshimiwa the only option out is PROPAGANDA!
Habari Leo inamilikiwa na nani? Halafu wewe unaewaita wapinzani nyumba na kwamba wamebanwa eti hawana pakutokea......hujitambui na hujui maisha Hama kwanza kwa wazazi unakokula Bure ndo utaweza kuandika point
Tulia dawa ukuingie...!