kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,792
- 22,111
Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu unakwenda tabora united unamsikiliza yule bi dada anaharisha eti afadhali moalim alijua akajiudhulu unarudi kwa singida big black pumba tupu anazungumzia eneo la ufundi utafikiri kocha na kuhusu utajiri wa board ya wakurugenzi kama anaishi mifukoni mwao au yanatija kwa klabu rudi yule wa coastal union anawaza kupiga deki kwenye ofisi za media tembea mpaka huko azam maelezo yake hayana weledi yaani wote ni machawa
Kifupi wanakera kuwasikiliza eti watu wanasema utani wa jadi ni ujinga tu.
Mimi nimuunge mkono sandaland na yanga wawakomeshe na wawakomalie hao wasemaje na mahakama bila kupokea vimemo wawaadhibu walipe fidia ili wakome kuharibu shughuli za maafisa habari wanajenga picha ya kuwadharaulisha wengine!
Hizi klabu hazina wasemaji wana machawa na wa kwanza kulaumiwa ni haji manara zungu pori aliye asisi huo upuuzi na kuacha weledi!