jau jau
Member
- Nov 5, 2017
- 38
- 30
Maneno ya Mademu na maana zake halisi
*Nisalimie ma mkwe jaman*= Demu wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie kumuoa,mcheleweshe kwanza huwa ni waigizaji sometimes
*Jomoni*= Ni Demu mwongo,mzuri wa sura, mdhinifu na hapendi kukosolewa na huwa hakosi birthday party hata siku moja.
*Vepee*= Demu anayetumia hili neno ni mmbea,anapenda fujo, mkorofi,anapenda kuvaa madera na ni hodari kutongoza waume wa best zake.
*Chaa* = Ni Demu mpayukaji,anapenda ubishi na wanaume, anajiamini kupita kiasi ni mzuri kwa umbo, hafai kuolewa
*Unalo babu wee*= Ni Demu ,mcharukaji,mpiga kelele,hana points,mcheza singeri,hana aibu,hakosi vigodoro,mzururaji ila anajua mapishi.
*Nilipie luku mpenzi*= Demu anayetumia sentence hii kwa best ake wa kiume hana mapenzi ya dhati,ni mkweli wa maisha yake binafsi,hana nia ya ukaribu na man
*Sina picha tuma wee kwanza*= Demu anayemjibu jamaa sentence hii ni mwoga,hajiamini,hajui mazungumzo,ni mvivu,hajui kujali.
*P na K*= Demu anayetumia hizi herufi kukujibu anajiskia sana,mvivu, anavutia sura na umbo,hajiamini,amepata elimu ila hana maarifa,hajui kupenda,anapenda pesa sana,anatoa penzi kila wiki na huwa anaishia kuhudhuria harusi za wenzie tu
*Nikopeshe elf 50 baby*=Demu huyu ni muuaji,mwongo sana,mahali popote penye giza anaweza kukupa penzi, hana mapenzi ya dhat na anapenda kulala na wazee,ila ni mjasiriamali wa nguvu
*Enx na Chantee*= Ni demu mwenye mzaha mwingi,mvivu sana kitandani,ukimueleza ukweli anahisi ameonewa anaweza toa chozi mda huo huo, anaamini mapenzi ya dhati, Ni msomi,mwelewa ila huwa hana bahati ya kupata the right man.
*kwendraaa*= Ni demu aliye na dharau,ila mzuri sana,anapenda pombe kali(wine),hana mabest wengi wa kike,hagongeki kwa pesa,anatamani kuoelewa haraka ila kila man anayemjia kwa mapenzi anamuona kama punguani flani.
*Mfyuuu* = Ni demu aliye na jeuri, hana uzuri wowote ni mpiga kelele tu kwenye magrup na vicoba,ana wivu kwa mademu wenzie, ukimnunulia makande ya jero tu unalala nae siku hiyo
*Inahuu na nampa papa* = Demu anayetumia haya maneo ni muhuni,anavuta shisha,sigara na pombe kali(wine) ,anapenda vipodozi,hakosi club,anapenda umaarufu,mara nyingi wanalala loji na kweny magari ya thamani.
*Nyokoloo*= Ni demu mwenye hasira za karibu,anapenda pombe za aina zote,anapenda safari za mikoani, mtafutaji wa pesa,ni bonge la pritenda,mcheshi kias,anapenda sana ngono hachoki,ni msomi, hapend kula,hana aibu anaweza uza hata maembe sokoni ili apate pesa.