Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,485
Hamna kitu kama hicho na haitakaa itokee..Labda ndotoni
Nitakuwa sijaamka bhana, nikiamka nitawakuta
Narudi kulala
Nitajiita Adam,
Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.
Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.
Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
Bro ukiamka ivo na mimi nishtue
Nitawaomba wanipatie demu mmoja......Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI LA KIZUSHI wadau, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?
nasubiria aliyewachukua anirudie na mm. la sivyo naendelea na life kama kawa
Nitachukuwa kopo la maji na kunawa uso maana itakuwa ni ndoto ya abunuwasi
Nitagurah kishenzi aseee
Haiwezekani kabisa elewa hivyo hata kama ni MFANONdo maana nimesema kwa mfano.. we jamaa vipi utasemaje haiwezekani wakati siyo ww unayecontrol dunia