Hapo awali Zari alikuwa anaishi South Africa akijifanya kwamba kule kuna kazi zake
Ukweli South kulikuwa kunatumika tu ndio njia ya mchepuko na kukutana na ivan enzi za uhai wake kwani muda mwingi Diamond anakua tanzania hivyo distant relation inakuwa ngumu
Kwa sasa baada ya msiba kuisha, Zari hana sababu tena ya kuishi South zaidi ya bongo Tz, atawashwa tu na kuhitaji ukaribu na Diamond na hii itamfanya ajikute kahamia hapa nchini.
Ila hata ngebe, jeuri na uboss wake kwa Diamond vitapungua, kwani sio siri Diamond alikuwa anaendeshwa akijua kwamba inawezekana Zari akarudi kwa Ivan na hili lilikuwa linafanywa kwa usiri huko South Africa
Karibu sana Zari hii ndio Tz njoo Msahilawadu yakuzoo yawe yanakuvutia waya!