UTABIRI: Kwenye mechi ya Ihefu vs Simba Marefa watayafanya makosa ya kiubinadamu na kupelekea Simba kupata pointi tatu muhimu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,572
13,399
Naam, kambumbu itapigwa pale Mbalali kwenye Uwanja wa Mpunga, Ihefu akimualika Simba SC.

NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea kwa Ihefu nakupelekea kudondosha point tatu muhimu ndani ya uwanja wao/uwanja wa damu na jasho.

Utabiri huu maridhawa kabisa yatatokea makosa ya kibinadamu kwa waamuzi wetu na kukosa haki kwa timu ya Ihefu FC.

Matokeo yatakua tofauti na vile Ihefu watakavyodani kuwa uwanjani kwao hatoki mtu.
 
Mechi ile ya juzi, goli la kwanza ni la utata mtupu mara mpira umevuka mstari, kipa nae akatoa sadaka kwa Baleke.
Goli la pili, mtu anachezewa faulo wazi wazi lakini refa anaacha tu watu waende wakafunge. Goli la tatu nalo limetolewa pochi. Yaani ilikuwa ni mwendo wa kubadilishana tu pochi kati ya refa, kipa na wachezaji.
 
Mlio angalia mpira nafikiri mliliona Hilo magumashi yalikua ni mengi sana.
 
Naam, kambumbu itapigwa pale mbalali kwenye uwanja wa mpunga, ihefu akimualika Simba sc.

NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea kwa ihefu nakupelekea kudondosha point tatu muhimu ndani ya uwanja wao/uwanja wa damu na jasho.

Utabiri huu maridhawa kabisa yatatokea makosa ya kibinadamu kwa waamuzi wetu
Nakukosa haki kwa timu ya ihefu fc.
Matokeo yatakua tofauti na vile ihefu watakavyodani kuwa uwanjani kwao hatoki mtu.
IHEFU si ndio yule mbabe wa yanga?
 
IHEFU si ndio yule mbabe wa yanga?
Ndiyo ihefu ni mbabe wa yanga aliyeifunga yanga Mara moja
Lakini yanga mbabe wa Simba aliyeifunga Simba zaidi ya Mara moja

Tukutane tar 19/4 kipigo maridhawa kipo pale pale bila yakupepesa macho tatu mzuka zinawafaa.
 
Naam, kambumbu itapigwa pale mbalali kwenye uwanja wa mpunga, ihefu akimualika Simba sc.

NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea kwa ihefu nakupelekea kudondosha point tatu muhimu ndani ya uwanja wao/uwanja wa damu na jasho.

Utabiri huu maridhawa kabisa yatatokea makosa ya kibinadamu kwa waamuzi wetu
Nakukosa haki kwa timu ya ihefu fc.
Matokeo yatakua tofauti na vile ihefu watakavyodani kuwa uwanjani kwao hatoki mtu.
Yanga alikufa moja pale kwenye ule uwanja nadhani labda hakukuwa na makosa ya kibinadamu kwa marefa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom