Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii.
Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani.
Kwa hapa Dar es Salaam naona kuna ongezeko kubwa la watoto wa mtaani.
Hawa watoto wanazaga ovyo mchana kwa kufanya shughuli za kujipatia kipato wengi utawakuta kwenye makutano ya barabara kwenye mataa wanasubiri kuosha vioo vya magari ,kucheza kamari, kufanya kazi ndogo ndogo na usiku wanalala popote pale passport na usalama wala mazingira bora ya mwanadamu kulala.
Picha hapo chini ni maeneo ya fire asubuhi watoto wa mtaani wamelala chini pembeni ya barabara.
Hii aina afya kwa ustawi wa jamii kwani tunatengeneza jamii yenye waovu na wahalifu.
Fikiria akili ya mtoto kama huyu kukua katika mazingira kama haya matokeo make ni nini. Hatofikirii kuhusu ujenzi wa jamii bora yeye ataona uovu na uhalifu ndio njia bora ya kupata kipato
Kwa kumalizia nawakumbusha idara ya ustawi wa jamii iamke na kutekeleza wajibu wake kurekebisha hili.
Ni hatari kwa Taifa