Ana Gundu... Fainali Nne.. zote hola... Nishasafiri na mtu kama huyu ana gundu balaa huko kilimanjaro njia zile zilizopasuliwa milimani huyo jamaa akipanda msipomshusha gari linaweza tumbukia korongoni... Wacha na yeye aachie Ngazi sifa Nyingi...
Bora Aenze kubong'oa tu apate thawabu...