johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,033
- 164,304
Nimeogopa sana 🐼
Kwamba kikisomwa kisomo Cha Kisasi basi usitegemee kitakuwa kama risasi itakayomlenga moja Kwa moja jambazi la hasha itaanza kufagia kwanza Chawa na Wapambe wa tukio zima
Ustaadh Yasin amesema Ogopa sana Wanadamu wanapompelekea mashtaka Allah
Nawatakia Dominica Njema 🌹