Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,685
- 119,325
Wanabodi,
JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, kwenye makaburi ya familia ya Malecela pale Mvumi Mission, Dodoma.
Kuna mengi kumhusu mtu huyu ambayo wengi hawayajui, miongoni mwa mengi hayo ni alijiandaa kwa kila kitu kwa kuandika kila kitu kuhusu maisha yake ikiwemo kujitabiria kifo chake kama alivyoandika hapa Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)
Ama kweli kauli huumba!. Na mimi naomba kuuliza, jee kuna uwezekano William Malecela, Le Mutuz Super Brand akawa ndiye the top most celeb wetu humu JF?.
Kwa wale mtakao penda kumfahamu zaidi, unaweza kujua each and everything kumhusu Le Mutuz kwa kutembelea bandiko hili Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)
RIP WJSM Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu
Paskali

Mange anawawakilisha baadhi ya Maadui zangu wa Maisha ambao wangependa kusikia nimekufa kwa sababu wana wasi wasi kua nitawadhulumu urithi wa Baba yetu ambaye bado yupo hai na huenda hata tukaondoka sisi tukamuacha ....hahahahha....