sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,228
Simu zetu hizi za android zina vitu vingi sana hatuchaguliwi cha kutumia, updates zake nazo sometimes huwa zinakuwa complex kidogo.
Ukiona kuna update kwenye simu yako, dont rush !! Tulia na usome mchezo.
Mfano mwezi uliopita kwa wale wenye google pixel 6 waliokimbilia kufanya updates za android 14 toleo la mwanzo kabisa simu zilikuwa zinapata joto na kuwahi kumalizika battery, i hope kwa sasa kuna update iliyorekebisha haya matatizo, ila kwa wale waliotulia kuusoma mchezo hawakuathiriwa
Ni mpaka kampuni ya simu irekebishe tena hizo updates ili kupata toleo stable, mbaya zaidi kunakuwa hauna option ya kurudi toleo lile la android kabla huja update.
Binafsi Simu yangu kwa miezi miwili hivi ina nipa notification ya android 14 nifanye update ila nime chill kwanza, nimesubiri miezi miwili ipite kwanza huku Napitia pitia forums za simu kucheki mirejesho ya waliofanya updates nimeona hakuna malalamiko kipindi chote hiki basi nami nimepata confidence, ntafanya update kesho.