nikisema kuna watu wenye maono alikuwepo justin kalikawe aliimba nyimbo nyingi sana ambazo zinamaana mpaka sasa,hasa ninaposikiliza wimbo wake anaosema usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajari kama ya mv bukoba,tatizo la wamachinga,roho ya korosho,amani na zingine,
Licha ya kumkumbuka nasikitika kwamba alikufa na nyimbo zake kwani zilizopo nimbili tu kama sio tatu zingine zimepotea kama mvuke.japo ujumbe wake unaishi mpaka sasa R.I.P brother nazidi kukukumbuka hadi sasa