Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,566
- 32,034
Mmmh,
Hivi majuzi yalinikuta, nilikutana na mdada kwa basi. Tukajuana nikamkaribisha sehemu majuzi akala mbuzi yangua na ka kvant.
Kumaliza nikaomba mzigo nkakagoma kakaachia twende kwangu lakini, kumekucha kufika tukasema tupige ka kvant kamwisho kadogo tukanza shuhuli.
Mdada akandanganya yuko peke yake kufika nikashtuka mbona chumba kimoja kina vitanda viwili na katikati kuna kama shuka ina wa separate, mmmh nkasema nifanye yangu
Gafla ikagongwa mlango nikavaa fasta boxer haikuwa rahisi mdada aligonga sana sana, ghafla akaingiana mwanaume wakaenda kitanda yao!
Pia soma: Niliacha pombe baada ya kukutana na mwanamke mwenye kalio nusu
Gafla nkasikia watu wanatoa kelele ya kuhondomola. Mmmh hamu yote ikanitoka kabisa.
Mdada anaomba pls tuendelee niamini hakuna shida yoyote, mmh akili ikanjia na jamaa akianza kutoka nafanyaje
Yaan madada warembooo sema maisha wanayoishii mmmh nimeapa kwenda kwa mwanamke never.