Usitegemee kipato cha mwanamke

mhogoz

JF-Expert Member
Oct 16, 2021
301
474
Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato;

(I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke

Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia wewe,nauli na Kila kitu

iii) Usiruhusu mwanamke alipie Kodi ya nyumba Wala ada,pambana wewe mwanamume.

I) Hela za mwanamke atakazopata zimsaidie kwenye mambo yake na wazazi wake ikibidi.

I) Usikubali kuishi kwenye nyumba ya mwanamke.

I) Usikubali Kuna vyakula vya mwanamke,nunua wewe kama mwanamume.

I) Usikubali mwanamke akununulie nguo yoyote,ila wewe umnunulie.

I) Usiendeshe gari ya mwanamke.

I) Mwanamke haijawahi kuwa na huruma yoyote kwa mwanamume.
 
Hayana formula yakiwa motomoto!

Shubiri ikiingia na matusi plus ubinafsi unaanza rasmi!!

Hata hayo uliyoyaandika sio tiba ya kudumu coz usaliti ni usaliti tu bika kujali nani anamhudumia mwenzake!yakiharibika yameharika adapt tabia mpya!
 
Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato;

(I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke

Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia wewe,nauli na Kila kitu

iii) Usiruhusu mwanamke alipie Kodi ya nyumba Wala ada,pambana wewe mwanamume.

I) Hela za mwanamke atakazopata zimsaidie kwenye mambo yake na wazazi wake ikibidi.

I) Usikubali kuishi kwenye nyumba ya mwanamke.

I) Usikubali Kuna vyakula vya mwanamke,nunua wewe kama mwanamume.

I) Usikubali mwanamke akununulie nguo yoyote,ila wewe umnunulie.

I) Usiendeshe gari ya mwanamke.

I) Mwanamke haijawahi kuwa na huruma yoyote kwa mwanamume.
Umekariri ujinga mtupu.
 
pole mkuu, Hilo mbona linajulikana au ulijisahau kidogo
wale gen z wanaotegemea kusaidiana maisha na wake zao,poleni sana
 
Wanawake wanaolewa ili wale Hela zao bila shida sababu mambo yake ya msingi kula na pa kulala utagharamia wewe hata kama mshahara amekuzidi.Msimamo wangu ambao ni ushauri kutoka kwa mmoja wa member JF usikubali Kila anachosema mwanamke ye anaamini we una Hela halafu hauna cha kufanyia yaani kama unapokea mshahara milioni moja ukimpa laki mbili ya matumizi anaamini una laki nane imebaki hata zipite wiki mbili anajua bado laki ipo na wakati huo mshahara wake wote kanunua mabati ya kanisa kwa hiki kizazi cha wenye tiketi mkononi ya kwenda mbinguni yaani walokole na wale wengine wala bata na marafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom