Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 308
- 822
USIPODHIBITI HISIA ZA KUKOSA PESA KUNAWEZA FANYA UWE NA WIVU NA USUMBUFU WA KIJINGA KWENYE MAHUSIANO😔
Ukimuona tu na marafiki wenye hela tayari unajua ni lazima atawapenda wao na kukuacha wewe.
Siku mkipishana tu kama kawaida ya watu ambao hamkuzaliwa pamoja wewe unajua anafanya hayo makusudi kwa sababu kakuona huna hela.
Asipoitikia simu zako kwa wakati hata kwa sababu tu yuko na mambo mengine na simu haipo karibu naye tayari utainua mawazo yako juu kuona ni sababu huna pesa ndio maana unafanyiwa hayo.
DHIBITI HISIA ZA KUKOSA PESA KWENYE MAHUSIANO.
Mahusiano ni haki ya wote maskini na tajiri sasa ikitokea huna pesa usiendeshwa na hisia za Kukosa pesa kwa sababu pesa huleta hisia sasa ukiishi kwa hisia za kukosa pesa ni lazima utaonekana msumbufu na mwenye wivu wa hovyo kwenye mahusiano.
#fikia Ndoto Zako
#Mwanasayansi Saul kalivubha