Usipande boda usiemjua usiku mwezenu yamenikuta

Smart Contract

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
1,145
2,812
Wakuu heri ya Christmas, japo kkwangu ilikuwa mbaya.

Huwa Sina tabia ya kutoka usiku sikukuu yoyote ila saa 3 usiku nikapata mwaliko wa pilau mahali Fulani, nkaenda nkala safi, vikaanza vinywaji mdogo kuja kushtuka saa6 na madakika kumpigia boda wangu hapokei mwingine akapokea ila kashalala.

Nikasema no sweat nitatafuta barabarani yoyote yule kweli nikampata nlikuwa nipo na mshikaji wangu tukapanda mshikaki.

Kufika kichochoro chenye mwanga hafifu bodaboda akayumba kidogo tukajikuta Chali tushadodondoka, kuhangaika kujiinua nakutana na panga la uso, mara nasikia kauli "wachukulieni kila kitu" ndo akili ikaja hapa tushaingia 18 za vibaka, nafosi kunyanyuka Tena nikachezea Tena la uso, nikaona hapa niwe mpole akazama mfukoni akasomba kila kitu mpaka bablish zangu.

Alivyoniachia nikatoka nduki la kilevi mixer kupepesuka hata yule mwanangu sikumkumbuka kumbe naye anachezea maparu tulikuja kuona home tunaugumia wote majeraha.

Akili kukaa sawa nikatambua yule boda na wale wahuni wako pamoja maana ye hakuguswa, na hata Ile kuanguka ilikuwa ishapangwa nao, kwamba akifika sehemu nzuri ya kutushughulikia ajiangushe makusufi muda huo wahuni wanatufata kwa nyuma kimyakimya, sema kutokana na hali ya ulevi hata hatukuwashtukia si unajua pombe Ina tabia ya kupuuza.

Wakuu nawaonya usipande boda usiku kama humjui, minishayavagaa, wameniharibu reception yangu ninaomba msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa makovu usoni hapa bado nauguza majeraha ila najua ya kipona hizo kovu zitakuwa za kufungia mwaka.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu heri ya Christmas, japo kkwangu ilikuwa mbaya.

Huwa Sina tabia ya kutoka usiku sikukuu yoyote ila saa 3 usiku nikapata mwaliko wa pilau mahali Fulani, nkaenda nkala safi, vikaanza vinywaji mdogo kuja kushtuka saa6 na madakika kumpigia boda wangu hapokei mwingine akapokea ila kashalala.
Nikasema no sweat ntatafuta barabarani yoyote yule kweli nkampata nlikuwa npo na mshikaji wangu tukapanda mshikaki.

Kufika kichochoro chenye mwanga hafifu bodaboda akayumba kidogo tukajikuta Chali tushadodondoka, kuhangaika kujiinua nakutana na panga la uso, mara nasikia kauli "wachukulieni kila kitu" ndo akili ikaja hapa tushaingia 18 za vibaka, nafosi kunyanyuka Tena nikachezea Tena la uso, nikaona hapa niwe mpole akazama mfukoni akasomba kila kitu mpaka bablish zangu.
Alivyoniachia nikatoka nduki la kilevi mixer kupepesuka hata yule mwanangu sikumkumbuka kumbe naye anachezea maparu tulikuja kuona home tunaugumia wote majeraha.

Akili kukaa sawa nikatambua yule boda na wale wahuni wako pamoja maana ye hakuguswa, na hata Ile kuanguka ilikuwa ishapangwa nao, kwamba akifika sehemu nzuri ya kutushughulikia ajiangushe makusufi mda huo wahuni wanatufata kwa nyuma kimyakimya, sema kutokana na hali ya ulevi hata hatukuwashtukia si unajua pombe Ina tabia ya kupuuza.

Wakuu nawaonya usipande boda usiku kama humjui, minishayavagaa, wameniharibu reception yangu ninaomba msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa makovu usoni hapa bado nauguza majeraha ila najua ya kipona hizo kovu zitakuwa za kufungia mwaka.
Natanguliza shukrani
Duh pole..
Tumepokea warned zako..
Next time chukua bolt
 
Back
Top Bottom