Izzi
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 553
- 1,135
Siku 3 zilizopita Mwanamziki Benpol alisema hakufurahia ndoa kama ambavyo anaona wengine wanavyofurahia ndoa zao. Ndoa anayoizungumzia ni ya yeye na Anerlisa - binti kutoka Kenya. Lakini mara kadhaa Anerlisa amesisitiza kuwa hataki kuzungumziwa na Benpol kwa chochote - iwe ni kizuri au kibaya. Sasa, kitendo cha Benard Paulo kuzungumzia ndoa kinaonekana kilimkera bibie Anerlisa Muigai. Nadhani akaona bora avujishe "Chats" kati ya Benpol na... Benpol .
Binafsi nimeshawahi kuitumia hii mbinu. Ni moja ya "psychological tortures" mbaya sana. Ni rahisi kwa alienyamaza, ni mateso kwa alienyamaziwa. Siku hizi wanaita Kum-Blue-tick mtu, yaani anakutumia sms unaifungua, unaisoma then unakausha.
Nimetazama hizi leaks, nimebaki nacheka peke yangu... Nimekumbuka interview ya juzi ya Benpol, nikilinganisha na ninachokiona hapa najikuta nacheka. Pia kuna tuvituvitu tunachekesha humu, ikiwemo hii; "Mama anakuulizia" hahaha!🤣
Kwamba Ben bado anampenda bibie? Au ndo zile mali kama wananzengo wanavyodai? Au ni promo tu ya wimbo wake?. Kwa mujibu wa hizi Chats, Ben Pol anapambana kurudisha majeshi - lakini bibie amechagua kumnyamazia 🤐. Bahati mbaya tunaweza tusipate hizi screenshots tena kwasababu pale mwishoni kuna sentensi hii; "You blocked this contact. Tap to unblock"🥴 Ouch!
HITIMISHO:
Marekani wana kitu kinaitwa Miranda Warning, inasema: "You have the right to remain silent. Anything you say can and will be used against you in a court of law."
Hapa kwetu napendekeza tuwe na ya kwetu, isomeke hivi "You have the right to stop sending the text messages and voice notes. Anything you send can and will be used against you in the courts of Social Media."

Chanzo: Mpashogram
".....I was never with you because of the money......" 🤔
".....Mum has been asking for you by the way, for days!........." 🤣