Usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini lakini anaishi maisha ya kifahari

Kwani maisha ya kifahari ya huyo mwanamke yananini cha kufanya na umasikini wa kwao.
 
Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi.

Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya.

MLIOAMUA KUOA CHUKUENI DARASA HILO KUTOKA KWA MJANJA M1.

Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
Alafu "k" zao zinaharufu balaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom